Recent content by Jbush Garigo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Akili ya uliambiwa changanya na ya kwako.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nimepewa laki mbili nimefukuzwa nyumbani nikajitegemee kesho naondoka rasmi

    Rahisi kuliko yote ni hii hapa. Mihogo mikubwa Minne inauzwa Tsh 1000. Ukiikata vizuri unapata vipande 8 x 4 = 32 ambayo ukiaanga kila kiwanda unauza Tsh 100 hadi 200. Sema unauza 150 x 32 = 4,800. Chukulia umeanza na maji wa 15,000 Miogo ya 10,000 sawa na miogo 4 x 10 = miogo 40 x vipande...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Raha ya usafiri wa umma Vs usafiri binafsi

    Acha ushamba kuwa na gari sio kigezo cha kutotumia public transportation. Unaweza kuicha tu gari yako nyumbani kurudi utaikuta.
  4. J

    JamiiForums Tanzania MAJESHI YA ANGA KUNANINI?

    Jamani hebu tuwe waungwana Leo ndio kwanza trh mwezi wa sita. hiyo posho ya mwezi wa sita wameipata lini?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nimeota kuwa kuna tukio kubwa la kitaifa linakuja

    N mkusanyiko wa sikukuu ya Eid
  6. J

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA TUNAKOSA NA KUPOTOSHA MAJINA HALISI YA VITU NA KBATIZA BAJINA MBADALA

    Nimetafakari kwa kina na kuona kwamba watanzania tunaongoza kwa kubadilisha majina ya vitu na kubatiza vitu majina yasiyo yake. Naomba nianze na swala la mifuko ya plastiki maarufu mifuko ya Rambo. Jina Rambo ilipewa mifuko hii enzi hizo cinema ya Rambo ilikuwa imeshika umaarufu duniani...
  7. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, Loss Report kituo cha Polisi inatolewa mwisho saa ngapi?

    Wanasemema mwisho wa kutoa ni masaa ya kazi ya serikali yani 1430hrs. Jumatatu mpaka ijumaa. Zaidi ya hapo haupati hata kwa dawa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

    Pole Yao.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Ukila dagaa mzima bila kumkata mara mbili utachapwa tu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Muwe Mnaangalia Watu wa Kuwaalika, tukomeza zero haiongelewi tena

    Mkubwa anauamuzi wa kutoka speech yake mahala popote Muda wrote. Na hapa ujumbe umefika vizuri.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume warefu tuko kwenye 'extinction' hatari ya kutoweka kabisa Duniani

    Ni ya kweli tupu. Majayant wanapungua. Lkn ukienda nchi kama Rwanda wao wengi ni warefu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tunatumia Copper kama Earth road kwenye nyumba zetu

    Naomba niwarudishe shule kidogo. Kwanini tunatumia copper Road kuunganisha waya wa Earth kwenye nyumba zetu? The resistance of an electrical Conductor depends on 4 factors, Length, Cross section Area, type, and Temp of material. It is known that Resistance R, ∝ L and R ∝ 1/a...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maliasili hamtutendei haki wauza mkaa

    Hiyo faida ya 5000 hadi 10000 baada ya wiki mbili unawezaje kuishi mjini kama sio udongo?
Back
Top Bottom