Mechi ya Tanzania na Uganda ilikuwa ni fursa nzuri kwa kitengo cha damu salama kutokana na idadi kubwa sana ya watu

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Mechi ya Tanzania vs Uganda ilikuwa ni fursa nzuri kwa wizara ya afya na kitengo cha damu salama kuweza kukusanya kiwango kikubwa sana cha damu ya akiba kutoka wa wasamaria wema kutokana na uwepo wa idadi kubwa sana ya watu.

Nimeandika hivi kwa maana kwamba jana katika maeneo ya uwanja wa taifa kulikuwa na watanzania zaidi ya elfu sabini ndani na hata nje ya uwanja.

Je, walikuwepo hawa watu wa hiki kitengo cha damu?

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
IMG_20190324_183144_541.jpg
 
Nimeandika hivi kwa maana kwamba jana katika maeneo ya uwanja wa taifa kulikuwa na watanzania zaidi ya elfu sabini ndani ya nje ya uwanja.

Je, walikuwepo hawa watu wa hiki kitengo cha damu?

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
View attachment 1053621
Soldier.. Mkuu .. Ndg unaupeo mkubwa..na wazo kuntu. Ila una adhini jangwani Hakuna wa swalihina !!
 
Sio kila unayemuona ni mzima na wengine hawana uhakika na afya zao so wazo zuri ila utekelezaji 0
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Mechi ya Tanzania vs Uganda ilikuwa ni fursa nzuri kwa wizara ya afya na kitengo cha damu salama kuweza kukusanya kiwango kikubwa sana cha damu ya akiba kutoka wa wasamaria wema kutokana na uwepo wa idadi kubwa sana ya watu.

Nimeandika hivi kwa maana kwamba jana katika maeneo ya uwanja wa taifa kulikuwa na watanzania zaidi ya elfu sabini ndani ya nje ya uwanja.

Je, walikuwepo hawa watu wa hiki kitengo cha damu?

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
View attachment 1053621

Sasa si mpaka wangekubali?
 
Mechi ingine mtasema ni fursa nzuri ya kutupima tezi dume!
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Mechi ya Tanzania vs Uganda ilikuwa ni fursa nzuri kwa wizara ya afya na kitengo cha damu salama kuweza kukusanya kiwango kikubwa sana cha damu ya akiba kutoka wa wasamaria wema kutokana na uwepo wa idadi kubwa sana ya watu.

Nimeandika hivi kwa maana kwamba jana katika maeneo ya uwanja wa taifa kulikuwa na watanzania zaidi ya elfu sabini ndani na hata nje ya uwanja.

Je, walikuwepo hawa watu wa hiki kitengo cha damu?

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
View attachment 1053621
Umewaza vizuri.Hongera!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mjini inabidi mtoe ninyi. Maana hata kazi zenu nizakukaa tu kwenye mafeni. Sasa mi mtu wa Goziba nitoe damu wakati nasubiliwa na nyavu 120 nizitoe majini kila siku. Huku ni kujitakia matatizo mengine tu tukijumlisha na matumizi ya fegi na balimi za bila kikomo
 
Uchangiaji wa damu si zoezi la lazima. Ni kwa hiari ya mtu
 
Back
Top Bottom