Sisi machalii wa Kaskazini utakuta tuna kreti 1 ya safari lager kubwa au ndogo itategemea,Box moja ya Windhoek,Box moja ya Heineken,Bombardier 4 kubwa mbili za kvant mengine ya Konyagi....na kama tupo yente sana na serengeti light kama kumi hiviii.....Na dereva huwa anajua kabisa kuonja kinywaji njiani mwisho beer 3 tuu....Ataanza kunywa baada ya njia panda pale ,huku sisi tukimburudisha na manyimbo mengi ya kufurahisha.......Labda tu nikupe way forward ndugu yangu mhaya Siyo kwamba tunabanana kwenye gari moja kwa kua hapa town hatumiliki magari lahasha tuna private cars,daladala nk....Ila huwa tunapanga kabisa mwaka huu tunapanda na gari ya Makundi,na mwakani lazima tupande na Ranger Rover la Macha na Tunamkumbusha kabisa Temu mwaka ulee unaokuja lazima Starlet yake ihusike..hehehe...Na wakati huo kumbuka familia zetu mke na vichalii lazima tu vikashuke KIA(kilimanjaro International Airpot) hamna jinsi,hapo housegirl alishapewa nauli ya Iringa siku mbili kabla ya safari.Asante mleta uzi.