Kwanini wanalalamika kwanini wasichukue Mig 21 moja wakajifanya kama wanapita jirani na pale wakaachia moto mmoja heshima itakuwepo.Kuna jamaa zangu wajeshi wanalalamika sana kukatwa posho za vinywaji ili kuendesha shughuli za vikosi Kama stationery mwezi wa tatu na wa sita,hii imekaaje.
Acha kuleta uchocheza,maneno ya kuambiwa changanya na yakoKuna jamaa zangu wajeshi wanalalamika sana kukatwa posho za vinywaji ili kuendesha shughuli za vikosi Kama stationery mwezi wa tatu na wa sita,hii imekaaje.