Recent content by Jazia Millz

  1. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

    Bundle la kusikiliza hiyo clip ni shida. Unge transcribe.
  2. Jazia Millz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Ulitaka ajifunzie wapi? Kwenye mdoli!
  3. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Kesho itajengwa na betting?

    Bashiri kwa kutumia kiasi cha pesa unachomudu kukipoteza. Huyo anayebetia pesa ya pembejeo hana akili kabisa.
  4. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Treni Mchongoko yawasili nchini

    Angalau mmetuondolea aibu. Wakenya huko hawatapata usingizi. Hizi picha postini kwenye ile thread ya battle kati ya Dar na Nairobi.
  5. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Mcheki huyu bwana +255623069397
  6. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Ushaharibu biashara wewe 😀😀😀
  7. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    Chipsi ndogo, kuku nusu. Mbona vichwa ni vingi kuliko mabehewa?
  8. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Pesa zilizotumika kujenga reli zingetumika kujenga bara bara, hadi bibi yangu angefikiwa na lami.
  9. Jazia Millz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, nilifungwa gereza la wanawake kimakosa sitosahau nilioyaona

    Daaah!
  10. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wanaswa wakimchuna mbwa kwa ajili ya kitoweo

    Ha haa. Tumegawana. Sie tunakula punda! Mt wanakula panya.
  11. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

    Thread closed 😀😀😀
  12. Jazia Millz

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

    Hivi hii body to body massage inakuwagaje?
  13. Jazia Millz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu alishawahi kumfumania mke wake kisha akamsamehe na maisha yakaendelea

    Mbona umenogewa kiasi hicho? Huwa anakupa mpaka figo? 😀😀😀
Back
Top Bottom