BEST 001
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 206
- 381
Pole sana kipenzi naomba nirekebishe makosa ya muongeaji huyo Jmn maana nna guu la mtoto lililokosa mlambajiMoja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa na upwa.
Hapo ifahamike kuwa tumeshaflirt sana, yaani ashanisimulia jinsi atanipa mambo nisahau njia ya kwetu. Mdomoni tu, ana game sio ya nchi hii yaani Casanova huyu hapa.
Mtoto wa kike hiyo siku nikatoka, shanga zangu za pink kiunoni nikaenda Kijitonyama.
NILIJUTA! Hajui Kukiss, Hajui Kusex, Hajui chochote.
Ila kwa sababu alikuwa rafiki yangu, nilimchana live. Nikamwambia “wewe, kunisumbua kote kule ndo hivi??”
Leo nimemkumbuka kwa sababu amenitext “wewe mwanamke uliwahi kuumiza hisia zangu sana. Najua nina deni kwako”
Wanaume, muwe mnafanya mnachotakiwa kufanya. Haiwezekani nitende dhambi ya uasherati halafu nisipate raha. Hata shetani anabaki ananicheka!