Recent content by jaykiwele

  1. jaykiwele

    Wito: Waliomrekodi binti Anna akiomboleza wachukuliwe hatua

    Sijui kuhusu sheria ila naamini kisaikolojia sio nzuri kabisa kwa huyu mtoto kina Millard na wengine mlioweka hizi video nadhan mtumie busara angekuwa mwanao usingefanya hivyo
  2. jaykiwele

    Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Mifuko ya jamii bado kuna siasa kuhusu hili suala la fao la kujitoa mimi mwenyew ni muhanga wa hili mwezi wa sita sasa bado nafuatilia haya mafao baada ya kibarua changu kuota nyasi sasa kila nikienda hela zipo ila wanadai hawatoi hela na ipo kama 7m ambay naamini itanisukuma mtaani kuendeleza...
  3. jaykiwele

    Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Shida hamuelewan mwenzio anajua cpu ni lile boksi kumbe ni processor ambayo ipo mle ndan ya lile boksi kifupi hard drive na cpu zote zinapatikana ndan ya lile boksi na data sheet nahitaj zinahifadhiwa ndan ya hard drive
  4. jaykiwele

    Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Ukienda kuziuza Dark web unakula pesa ndefu hizo CPU
  5. jaykiwele

    Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

    Nafikiria kufungua studio ya picha(photoshoot) na kazi za graphics vipi mkuu eneo gan litanifaa? Je ni biashar itayolipa au? Naomb muongoz wako mkuu
  6. jaykiwele

    TAIFA STARS: IBRAHIM AJIBU NDANI! ABUBAKAR SALUM NDANI! JONAS MKUDE NDANI MATOKEO 0-0 NYUMBANI

    Ni kweli kaka ukikumbuka hii team imekaa kama wik moja bad chemistry haikuw nzur ila amunike alikaa na team mwez mzim ila haikuwa na chemistry yoyote
  7. jaykiwele

    Madrid huenda ikafanya vibaya zaidi kuwahikutokea misimu ishirini iliyopita

    Hata arsenal kamfunga bayern pre season ila tuone wakikutana kweny ligi yoyot msim kama atawez wafunga
  8. jaykiwele

    HALI NI MBAYA WADAU NAHITAJ KAZI)

    Okay mkuu natuma maombi siwezi kuacha
  9. jaykiwele

    HALI NI MBAYA WADAU NAHITAJ KAZI)

    Nipo sumbawanga mkuu
  10. jaykiwele

    HALI NI MBAYA WADAU NAHITAJ KAZI)

    Habari wapendwa humu JF, Mimi nina miaka 28 chuo nimepita nikapata degree ya masuala ya computer ila kama mnavyojua wimbi la kukosa ajira limekuwa tatizo kubwa kwasasa ndio maana nimeamua kuja kwenu naamini humu Kuna wadau wa Kila sekta ambao kwa namna noja au nyingine wanaweza kunipa muongozo...
  11. jaykiwele

    Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

    Hiyo ndio rekod yake msim uliopita 13 clean sheet kweny mech 22
  12. jaykiwele

    Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

    Kila nikikukumbuka kipindi kampeni ya kumchangia Lissu hiki kituo pendwa kilivyokuwa busy na Mambo yake utadhan hakikuwa kinajua kinachoendelea najikuta napata shida kumchangia boss wao..... Mungu ampe uzima Lissu na Ruge Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom