TAIFA STARS: IBRAHIM AJIBU NDANI! ABUBAKAR SALUM NDANI! JONAS MKUDE NDANI MATOKEO 0-0 NYUMBANI

Kwa mpira tuliocheza leo tumeonesha tuna timu yaani ilikuwa raha kuangalia kila mchezaji anapopata mpira kiongo tulikikamata kisawasawa hichi ndicho tulichokuwa tunataka timu icheze mpira sio kwenda kurukaruka mpaka mpira unaisha.

Kenya walikuja na plan ya kuzuia naamini kwa mpira huu tuliocheza wakenya wakifunguka kule kwao tutawafunga.
 
Unamwachaje Kabunda,Balama,Mayanga,Ilamfya,Strikers wa Mtibwa kama Kibaya na mwenzake Kiduku..kweli Matola na Mgunda..hako katoto Kelvin HAWEZI kucheza hata TPL..arrrrggg Wachezaji wa Mikia Wana vitambi ..wanalishwa mbuzi katoliki South kubana matumizi..
 
Etienne Apewe Team Mazima
Team Imecheza Vizuri Ila Tatizo La Finishing Pale Mbele Ni Shida.
Na Viungo Wa Kupeleka Team Mbele Wao Wanapiga Back Pass. Ajibu Alivyoingia Ndo Akawa Anajaribu Kusogeza Team Mbele Yaan Hakuna Kugeuka Nyuma. Safi!
Big Up Kwa Beki Nyuma Wamejitahidi. Hasa Kale Kajamaa Cha Kulia Sijui Paul Nanii!

Nimesema Tu Me Sio Mzalendo
 
Acha wivu angekuwa anatoka Simba ungemtaja vizuri,
Acha wivu
 
Etienne Apewe Team Mazima
Team Imecheza Vizuri Ila Tatizo La Finishing Pale Mbele Ni Shida.
Na Viungo Wa Kupeleka Team Mbele Wao Wanapiga Back Pass. Ajibu Alivyoingia Ndo Akawa Anajaribu Kusogeza Team Mbele Yaan Hakuna Kugeuka Nyuma. Safi!
Big Up Kwa Beki Nyuma Wamejitahidi. Hasa Kale Kajamaa Cha Kulia Sijui Paul Nanii!
Nimesema Tu Me Sio Mzalendo
Cvnyie wale wa apewwe mara afukuzwe MPIRA
 
Leo hatukuwa na bahati acha lawama, vijana wamepiga mpira sana...ila Afcon tulionekana kabisa mipango hovyo na ushirikiano wa kikosi ulikuwa F
Ni kweli kaka ukikumbuka hii team imekaa kama wik moja bad chemistry haikuw nzur ila amunike alikaa na team mwez mzim ila haikuwa na chemistry yoyote
 
Etienne Apewe Team Mazima
Team Imecheza Vizuri Ila Tatizo La Finishing Pale Mbele Ni Shida.
Na Viungo Wa Kupeleka Team Mbele Wao Wanapiga Back Pass. Ajibu Alivyoingia Ndo Akawa Anajaribu Kusogeza Team Mbele Yaan Hakuna Kugeuka Nyuma. Safi!
Big Up Kwa Beki Nyuma Wamejitahidi. Hasa Kale Kajamaa Cha Kulia Sijui Paul Nanii!

Nimesema Tu Me Sio Mzalendo
ha haaa
 
Vijana wamecheza vzr.Ugonjwa ule ule wa pass za kurudi nyuma umeendelea.Hatuna washambuliaji wasumbufu design ya Kagere
 
Leo hatukuwa na bahati acha lawama, vijana wamepiga mpira sana...ila Afcon tulionekana kabisa mipango hovyo na ushirikiano wa kikosi ulikuwa F
AFCON mechi zilituzidi kiwango,leo tumefeli siyo hatukuwa na bahati.Unaupiga mwingi bila malengo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom