Recent content by Jay27

  1. Jay27

    Wacha niuze sura mie

    sasa mbona unaandika kama ke
  2. Jay27

    Kurejea kwa Tundu Lissu kwenye nchi yake ya asili

    :D:D:D we jamaaa wewe
  3. Jay27

    Rafiki tuliyependana kama ndugu, leo tunakuwa maadui

    Huyu itakuwa kashinikizwa na mumewe cha msingi mgawane kila mtu afe na chake vinginevyo unaelekea kudhulumiwa. Ila sisi binadamu tunakuwa na tamaa sana usirudi nyuma hata hatua moja pambana ila kwa tahadhari kwani hii ishakuwa vita.
  4. Jay27

    Fatma Karume: Kwa mujibu wa Katiba, ibara ya 138(1),Rais hana mamlaka ya kutuamlia kodi hata kama anaipunguza

    Wenyewe kila kitu ni kupinga tu hata kama kinamnufaisha mnyonge...tumewachoka na siasa zenu na kama kuna mtu hajafurahishwa na kauli ya Rais anaweza akahama nchi sio lazima aishi Tanzania
  5. Jay27

    Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

    Je ungekuta kuna meseji za ajabu si ingekuwa balaa
  6. Jay27

    Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

    Unakagua simu ya mumeo unapata pressure ..unakufaa..classmate wanaendelea kuchat nae kama kawa
  7. Jay27

    Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

    Umeishasema ww ni mbaya so utapigwa sana virungu ila ungekuwa mrembo ungehongwa sana
  8. Jay27

    Nyumba inauzwa

    Usikute mwenye nyumba kaishafanya yake(kamati ya ufundi) ndio maana haiuziki
  9. Jay27

    Hassan Ngoma amponda Bulaya kuhusu kupeleka mswada binafsi bungeni.....auliza alikuwa wapi wakati sheria inapitishwa?

    Kwa hili wabunge wa CCM ndio waliotuumiza wananchi wenyewe kila kitu ni ndiyoooo
  10. Jay27

    Nawaza mapenzi karibu masaa 12 kwa siku

    Jaribu kuwa bize muda mwingi
  11. Jay27

    Natafuta kioo cha singsung inch 22 (LED)

    Mimi nahitaji kioo cha Tcl inch 48 mwenye nacho aje PM
  12. Jay27

    Nawaza mapenzi karibu masaa 12 kwa siku

    Pepo la ngono linakusumbua mkuu
  13. Jay27

    Ungekuwa wewe ndio konda ungemjibu vipi huyu abiria

    Dereva simamisha gari ashuke huyu anazingua
Back
Top Bottom