Nawaza mapenzi karibu masaa 12 kwa siku

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,321
Wakuu,

Pamoja na kwamba, kila siku natafuna papuchi hata walau bao moja tu(siku nikiwa na uchovu, lakini nimekua nikiwaza mapenzi muda mwingi kwa siku.

Yaani kila saa nawaza na kutamani mapenzi.

Sijui ni tatizo la kibaiolojia au ni jambo la kawaida?
 
My friend kwani we tumbiri
ghost1_wa_insta-20181126-0001.jpeg
 
Pamoja na kwamba, kila siku natafuna papuchi hata walau bao moja tu(siku nikiwa na uchovu, lakini nimekua nikiwaza mapenzi muda mwingi kwa siku.

Yaani kila saa nawaza na kutamani mapenzi.

Sijui ni tatizo la kibaiolojia au ni jambo la kawaida?

Nenda jiunge na anaza kubashiri mpira - Betting. Hakili yako inakuwa sawa na huenda ikahama na kuhamia huko kwenye betting. Ila bora kubet kuliko kila siku kuwaza na kufanya ngono hii uwe makini sana siku moja utaunga waya wa umeme.
 
1. Haupo busy
2. Hauna majukumu
3. Unauhakika wa kula na kulala kwa Dad & Mam
 
Nenda jiunge na anaza kubashiri mpira - Betting. Hakili yako inakuwa sawa na huenda ikahama na kuhamia huko kwenye betting. Ila bora kubet kuliko kila siku kuwaza na kufanya ngono hii uwe makini sana siku moja utaunga waya wa umeme.
Niko na wife mkuu...napenzika na wife
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom