Recent content by Jawilath abby

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    Kusoma c kupata ajira km unavyodhan ww, Bali ni kupata ujuz na maarifa, kwanza tengua kauli ya kudharirisha elimu za watu, videgree uchwara???? We mamvi kabisa!!! unajua nguvu ya kuipata degree ww?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tumia neno kwanini

    Kwa nn rais wetu ameamin kuwa wanaopost ujinga mitandaoni ni wale watumishi feki elf 12
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rutabo Sec School, Muleba- Kagera, naomba kufahamu haya

    Kuhusu mahali ilipo unafika muleba mjini then unapanda gari ya bkb unashukia mutwe then unasubilia gari za ktoka bkb znazoenda kamachumu unapanda unaenda hd kamachumu senta then utaelekezwa way to rutabo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kinachowapata ACT Wazlendo:CHADEMA hamko salama

    Political honestly is not our priority to make people liberated. Tatzo UKIRO (upungufu wa kinga rohoni) umetawala nafsi zetu na itatugharimu xn
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada mkifanya hivi mtakufa!??

    Mbona mi nshazoea kufanya hvo
Back
Top Bottom