Jawilath abby
Member
- May 26, 2017
- 7
- 4
Mbona mi nshazoea kufanya hvo
Wanaishi kwakuwa hawana jinsi .Ayo ni maneno tu ao single mothers wanaishije
Mkuu awa ni wasumbufu kwel sometimes uwa naona bora wangekua bidhaa tukajua moja kwamba tuna wanunua.Hahhahhaah mmae walahi
Ujanijibu ao ma single mother wanaishije?Kama ni maneno tu! Basi ni sawa tukisema ni maneno tu ya kudhania kuwa wewe ni mwanaume
Unanjengea gorofa nakunnulia gar[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji15] Jana tu nmekuchangia hela ya ujenzi leo unasema mpk mwisho wa dunia ama kweliLabda mwisho wa dunia
Labda ujenzi wa banda la kuku ...wanawake badilikeni[emoji15] Jana tu nmekuchangia hela ya ujenzi leo unasema mpk mwisho wa dunia ama kweli
[emoji134] [emoji134] basi hata hayo umekula umelalaje ntaacha kukuulizaLabda ujenzi wa banda la kuku ...wanawake badilikeni
Akili za kudownload hiziMwanaume atatafuta kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu! so kama na nyie mtaweza kutusaidia mambo ya leba sawa.