Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,325
- 152,136
Niwambie tu hii mbinu ya kuwapa watu ulaji siku si nyingi hata nyie inaweza ikawakumbuka hivyo inapaswa kuwa agenda katika vikao vyenu na ikibidi muiwekee mikakati jinsi ya kuikabili.
Ukweli ni kwamba kama kungekuwa na dhamira njema basi tungebadili katiba kuruhusu uwepo wa serikali ya mseto lakini najua hili kufanyika ni ndoto.
Tatizo kubwa la wanasiasa wengi ni kuwa wamegeuza siasa kuwa ajira na ndio maana wengi hawana misimamo.
Mtu anaeingia kwenye siasa kwa lengo la kupata pa kutokea,mtu wa aina hiyo anaweza kutokea hata dirishani badala ya mlangoni.