Recent content by jasyfabiano

  1. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Nyie hata mpewe nini huwa hamridhiki, naimani hata hamjui mnataka kupewa nini 😂😂😂 nacheka kama mazuri , naona inanyesha sasa kilichobaki ni kuona panapovuja
  2. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Umepata somo gani la maisha 2022?

    Jitume na utafanikiwa
  3. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Sijaona Salaam za Vyama vya Upinzani kwa ajili ya Christmas na Mwaka Mpya, sijajua tatizo!

    Nyakati zinafautiana mkuu kwa usawa huu hali zilizivyo huo muda wa kuweka posti za kula pilau MTU anautoa wapi
  4. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Kuota kuhusu jambo fulani na likatokea baada ya siku chache

    Kuna uhusiano gani uliopo kati ya ndoto anazoota mtu na zikawa kweli?
  5. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    Unataka kujilipua kisa pesa za kibegi,
  6. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    Hakuna anayeupenda umaskini hata kidogo, Ila suala la kuwa na maisha mazuri kwa pesa za mauza uza hapana kwa kweli wacha nizisake kibishi ntaridhika na kidogo ntakachokipata .
  7. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kweli cha Adolph Hitler: Hebu tuachane kwanza na ile ya kujiua kwa tindikali au kukimbilia kwake Argentina

    Hivyo vikosi vya Schutzastaffel bado vipo had I Leo ?
  8. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Nisome vitabu gani vya coding? Nahitaji kujifunza kuhusu coding.

    Sio mbaya kama tutakuwa tunachnagia mawazo nina kama mwaka mmoja hivi niko najifunza Python
  9. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania For programmers and developers Write "Hello world" in any Programming language 'PL', markup language 'ML' & scripting language 'SL'

    <script type="javascript"> document.write("Hello World"); </script>
  10. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Web Developement Projects

    Bado sijampata mtu wa kuanza nae
  11. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Web Developement Projects

    asante kwa maoni yako
  12. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata mtaji wa biashara

    Nipo dodoma ,nataka kuanzisha kuuza juice
  13. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata mtaji wa biashara

    shilingi laki moja tu
  14. jasyfabiano

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata mtaji wa biashara

    Habari za mida wasaka tonge wenzangu, Nimekuwa natamani na mimi nimiliki biashara yangu,ila changamoto inakuwa kwenye mtaji wa kuanzishia hiyo biashara. Njia zipi labda zinaweza kunisaidia kupata mtaji?
Back
Top Bottom