Recent content by Jarren Jackson

  1. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa kampuni ya SUMA JKT GUARD wana matatizo ya kisaikolojia

    Hapana mkuu mkataba ni miaka miwili baada ya hapo hua wanaongeza miezi mi 3 au 6 inategemea na uhitaji wao hapo ndio utakuta mtu anafika miaka mi 3
  2. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Je, vijana wa JKT wa miaka hii huajiriwa kweli JWTZ?

    Siku hizi Ajira ni za kubahatisha sana sio kama zamani
  3. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa vijana kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea mwaka 2020

    una uhakika? ushawahi kupitia mafunzo ya jkt?. Kwa sasa naona bora mtu ukomae mtaani tu huko utajila sana AF utatoka patupu
  4. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa vijana kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea mwaka 2020

    Hivi bado kuna watu wanafikiria kwenda jkt awamu hii??
  5. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Pombe na mabinti wa kichaga

    Kweli tumetofautiana Hao Mimi ndio nawataka
  6. Jarren Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi mke wangu

    Hapo in short ni kwamba amesha kukinai na hayo ndio madhara ya ndoa
  7. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Shehe Shariff Majini kulalamika kaibiwa kura Tanga, je majini yake hayamlindi?

    Labda majini yamekutana na jina la yesu
  8. Jarren Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu mtarajiwa, ananifurahisha sana

    Anasubiri uingie kingi tu ujae ili uijue habari yake
  9. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

    Kwa sasa hana namna zaid ya kujipendekeza ili wamfikirie japo kwenye teuzi
  10. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Walichofanya HELSB sio haki!

    Tatizo wanawakopesha ma dogo then pesa hiyo hiyo wanaona ka wanapoteza vile ndio maana milolongo ni mingi
  11. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amebadilka sana

    Hiki ndio kipindi cha kubadika mkuu au hujui tupo kwenye kipindi gani?
  12. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kweli kwa aina ya watu kama ww naamini Tanzania tuna safari ndefu yaani ELIMU inahitajika mno kwa watu wetu
  13. Jarren Jackson

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    Alitaka wafanyeje akati watu washamjulia kua wanaojipendekeza ndio ambao hua anawapa promo.
  14. Jarren Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni nini hasa faida ya kuoa?

    basi bwana ako anafaidi
Back
Top Bottom