Pombe na mabinti wa kichaga

Pombe na mabinti wa kichaga

Wanaongoza kunywa pombe n wanawake wakichaga....vidada vya chuo na non Muslim tena mchana kweupe bila hata haya.
 
Tatizo mnadhani kila anaekunywa anavunja heshima mbele za watu
Kuna kunywa kishkaji, kuna kulewa na kukosa staha. Sasa mke na mama mwenye watoto kadhaa unapiga ulabu hadi unashindwa kutawala mwili si hatari hiyo!!

Sisi tuliojiingiza huko tunawafahamu vizuri watani zetu, yaani vijana wameharibika kisa ulabu.
 
Kuna kunywa kishkaji, kuna kulewa na kukosa staha. Sasa mke na mama mwenye watoto kadhaa unapiga ulabu hadi unashindwa kutawala mwili si hatari hiyo!!

Sisi tuliojiingiza huko tunawafahamu vizuri watani zetu, yaani vijana wameharibika kisa ulabu.
Kikubwa pombe uimudu
Uwe na aina yako na ujue kiasi chako
Zaidi ya hapo anza kunywa maji plain tu
 
Wakati naishi buza mid 2000s nikua nanunua mbege hapo abiola bar moja inaitwa Cheka nao !!!!!kila jumapili hahaaahaaa mbege oyeeeeeeeeeee
 
kunywa kwao pombe wewe kuna kuhusu nini...?
maana umbea mwingine hauna maana kwakweli
yani unaacha kuihudumia familia yako kwa kutafuta fedha kwa juhudi unakuja kutuletea umbea wa kitoto hapa.
😆😆😆😆😆
 
Ni wachache sana wasiokunywa pombe. Hata hawa ninaoishi nao ghetto wanapiga pombe kistaarabu na wapo around 20-21 yrs.
 
Pole sana, wadada wa kichaga wanaongoza kwa kuolewa
.... sometimes akikupenda anakuoa yeye kama unajivutavuta bila sababu oooh sina chumba, ohhh sina sijui nini anakuweka ndani halafu kama mahari anapiga mzigo anakulipia. Wachaga ha ha aha. Nimeshuhudia hii kwa jamaa zangu wawili hivi.
 
Kuna jamaa namfahamu mchaga aliniambia alianza kunywa tangu ana miaka 5 kwa sasa anatamani kuacha anashindwa
Kila aina ya pombe anaijua yeye
 
Back
Top Bottom