Je, vijana wa JKT wa miaka hii huajiriwa kweli JWTZ?

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,620
6,079
Helo waungwana Mambo vipi. Nipo hapa leo kuulizia Jambo moja.

Wiki 4 zilizopita niliona tangazo la kujiunga JKT kwa kujitolea. Vijana wengi waliomba hata wangu amekwenda.

Lakini je Kuna ajira huko au? Naombeni majibu.
 
'Tangazo la kujiunga JKT kwa kujitolea..'

Jibu liko hapo juu kwenye hiyo sentensi.

Afande waziiiiiiiiiii.
 
Helo waungwana Mambo vipi. Nipo hapa leo kuulizia Jambo moja..
Wiki 4 zilizopita niliona tangazo la kujiunga JKT kwa kujitolea.. vijana wengi waliomba hata wangu amekwenda ...
Lakini je Kuna ajira huko au ? Naombeni majibu .........
....
Siku hizi JKT ndio msingi wa kwenda kote huko na kwingine pia kama polisi magereza nk
 
Back
Top Bottom