Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Veri simpo...



Ana jamaa nje anayemgonga...

Ukubali ukatae.


Ukibisha Jaribu kuchukua simu yake KWA KULAZIMISHA.


kama nimm, ningelazimisha kuchukua, najua angenipanda kichwan na ugonv ukawa mkubwa........


Alafu kisha, ningemuondosha ndani kwangu aende huko huko kwa kajamaa kake.


Nilishasema, Siwezi kukutunza, kukulisha kama mtoto, ulale mahali pazuri, kila kitu nikupe mm, . ...ALAFU UNIPANDE KICHWAN ,ET UNICHEPUKIE ?? MATOKEO YA KUCHEPUKA YAKUFANYE UNIBADILIKIE USHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAKO KWANGU??? .nahata kama una kazi yako sijui kipato chako, ili mradi ulikubali kuoana namm, hakikisha unaendelea kuniheshimu km Kichwa chako, Baba wa mji, Mkuu wa kaya ,



mamaeeeeeee .......Siku hizi wanaume wameisha, mnajifanya majentomeni et bebi bebi kibaoooooooo....
 
Sasa kwanza hebu tafakari mlivyoanza ndoa mlikuwa mnapeana vipi na je kwa sasa mnafanya hivyo,hasa wewe zile staili yale mapigo ya awali unayafanya au ulianza kupunguza manjonjo na mambinu?

Pia, jiulize vitu unavyomuahadi unamtimizia?.sasa ukishatafakari na ukapata majibu yote hayo,tafuta siku,umtoe out, mkale, mnywe then muombane radhi na mkirudi home,piga yale mapigo ya zamani,mtimizie anavyotaka na ukiwa huna pesa mwambie mapema na mpe ahadi na uzitimize hizo ahadi,kika kitu kitarejea kama ilivyokuwa zamani
 
Kama anatumia njia za uzazi wa Mpango mvumilie tu mkuu kawaida hiyo hali..

Kama pesa imepunguaa bhasi kaza moyoo maana hawa viumbe bhana..

Kama ulikufumania na msg au akaprove unachepuka noma sana.

Kama hakuna moja kati ya hayo yotee bhasi kuna mwana anamlaaaaaaaa...
 
Kwanza,itakuwa humkazi vile anapenda kukazwa ndo mana anasingizia kuchoka

Pili,rejea point ya kwanza ili heshima ya ndoa irudi
Namkaza si mchezo, kwa hilo najiamini. Niko vizuri.
Inawezekana yeye hafikirii kama wewe
Naongezea hapo alipoishia Joanah...

Wanawake wako tofauti sana unaweza ukajikuta unakimbiza with the right speed but in wrong direction ikawa kazi bure

Inawezekana amepoteza interest naww na Kuna vitu vyako havifurahii
Ongea nae taratibu muandae kisaikolojia mfurahishe kwenye mambo mengine madogomadogo yatasaidia kurudisha hisia zake kwako

Mtoe out siku mojamoja mkanywe hata soda mkisikiliza mziki mzuri itasaidia kurestore settings zake kurudi default

Kwa siku ambazo hauna ulazima wa kuchelewa nyumban rudi mapema ukae nae karibu
Ila kuwa makin usiwe na speed sana kweny hayo nliokushauri maana atahisi unapretent ili upewe kwa urahisi matokeo yake utampoteza mazima

Wanapenda sana kubembelezwa na kuumuliwa vichwa kwa masifa ya uongo na kweli
Ukiigundua password yake utaishi nae kwa aman saaana

Ushauri kwa vijana wenzangu tunapotaka kuoa tusiangalie tabia na ukubwa wa tako pekee tuangalie pia na uwezo wako wa kumteka kihisia ili huko mbeleni mambo yakianza kusuasua unaingiza password mambo yanarudi upyaaaa
 
Fanya hima ukae nae na mjadili hiyo hali. Uzuri wa ndoa ni wote kujawa na tabasamu usoni, mfanye mkeo akumiss hata unapokuwa kwenye majukumu.
Sitaki kurukia kwenye she is seeing somebody hapana... Kaa uzungumze nae
Asante
 
Back
Top Bottom