Recent content by Jaramoggi

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta Afunga Campaign Kwa Maombi, Kalonzo Kwa Chuki

    Acha ujinga kama hujui siasa kaa kimya usilete siasa za maji taka za TZ Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania RFA kifuteni kipindi cha magazeti asubuhi

    Wamepewa onyo na waziri mropokaki Mwakyembe kawaambie wasome vichwa vya habari tu ili magazeti yauzwe na wadau!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 50% wafutiwa usajili wa master's UDSM: kulipa 2 - 5mil; kisa waziri Ndalichako & Kairuki

    Vuneni mlichopanda tuko mapunguani mno kwa kifikiri acha tusote wote!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naamini, Mrithi wa Kinana akiwa Dr. Bashiru Ally, CCM itakuwa imara

    Hivi nchi hii bado unatudanganya na ujamaa,wadanganye vipofu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Tundu Lisu unaangaika na hao Kabudi keshaingia kwenye zizi la hao jamaa ataziba masikio yake mpaka mtamshangaa,zile kelele zake za zamani ilikuwa ni kusaka tonge tu,njaa ilimchosha chuoni,akuna jipya atakalolifanya bila maelekezo wa Bosi wake!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bila tija mshahara usiongezwe serikalini

    Wwe ni mweu nenda ukapimwe akili hospitali ya vichaa Mirembe Dodoma!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kusoma master pasipo bachelor's degree kwa aliyesoma diploma

    Kama gpa yako ni bellow yaani pass au lower ni lazima usome post graduate diploma kozi ya mwaka mmoja then unaruhusiwa kufanya level ya master!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mlipuko:Dr. Gwajima kutikisa pande zote za Tanzania kesho

    Wwe unaesema kwamba Gwajima anadaiwa na Benki nadhani unaumwa akili,Gwajima anaweza kulisha ukoo wako mwaka mzma kwa safaka ya mwezi moja tu,usiongee kama punguani bn!
  9. J

    JamiiForums Tanzania LHRC kuipinga 15% ya Bodi ya mikopo Mahakamani

    Mimi nasema wawasaidie wanyonge tena watupe na akaunti zao za benki tuwachangie maana huu ni uonevu,huwezi kukata pesa ya mtu bila mapatano!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali watanda uwanja wa taifa

    Hizo gharama kubwa wanazotumia wawalipe watumishi na makandarasi wanaowadai kweli siasa mbaya hubomoa nchi,leo nimeamini,kisa Mbowe na Wema!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Mh,wwe steven aliyekutuma kachelewa tena hufai hata kuitwa Nyerere,
  12. J

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Duh,kama ndivyo hivyo kwanini walikwenda kufanya upekuzi usiku,imekula kwa rpc Siro!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Naombeni cv yake au elimu yake ya juu ana master ya nni kwani?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Wema Sepetu na kundi lake ndani ya CHADEMA hauna manufaa kwa taifa

    Wwe mtoa mada hujui siasa bora ungekaa kimya tu,labda nikusaidie bure kuwa siasa inajengwa na watu maarufu,acha ushamba!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Mbowe jisalimishe Polisi; Masogange, Chid Mapenzi, Wallis Nasher tumewakuta na madawa

    Siro anatekeleza maahizo ya Makonda lakini nadhani tuache siasa za chuki za kukomoana na ni vema tukaheshimu Demokrasia tuloachiwa na viongozi wetu waliopita!
Back
Top Bottom