Vyama vya wafanyakazi viko wapi?
Uonevu mkubwa kufanya mabadiriko ya kimkataba bila ushirikishaji.
Kifupi huwa sielewi ni akili gani hutumika kufanya maamuzi kama haya?
Na hili ni matokeo ya mtu anayetunga sheria kuwa na maisha ya juu zaidi ya mtu wanayemtungia sheria.
Wabunge wetu ni jipu kubwa sana! Wana maisha ya level ya juu sana kiasi kwamba mambo mengi huyapitisha pasipo kujua impact halisi maamuzi yao.
Kwa maisha ya watumishi wa taifa hili na mishaara ya laki 5 uwe na utitili wa kodi na makato ni maisha yapi unayotegemea mtumishi kuishi maisha gani?
Nini hathali yake ktk motisha ya mtumishi?
Unajua unastahili kupata laki tano mwisho wa mwezi unapoke 230000 ebu niambie psychological effect ya maamuzi haya.
Status ya mtumishi uishi kwa 2.3k per month?
Nyumba
Chakula
Home utilities
Social responsibility
School fees....etc
Hapa tukubaliene tu ikitokea nafasi ya kula rushwa tusameheane tu mtu awezi acha.........
Au avunjike morali na kufanya kazi pasina tija.
Au aache kazi na kutafuta namna nyingine ya kuishi.....
Nafikiri ni haki watumishi kuanzisha harakati za kujikomboa na namna hii ya utumwa ili kuepuka kazi kuwa mzigo na stress