Ulinzi mkali watanda uwanja wa taifa

Ulinzi mkali watanda uwanja wa taifa

Tunawatisha ili tuendelee kuwakandamiza.
Tunapanda hofu
 
Ni kama gemu linapigwa 'central' vile! hakuna hanjam
 
Hizo gharama kubwa wanazotumia wawalipe watumishi na makandarasi wanaowadai kweli siasa mbaya hubomoa nchi,leo nimeamini,kisa Mbowe na Wema!
 
Kwa wale watakao enda, niwatakie safari njema. TFF mpira ukiisha msisahau kututangazia mapato
 
Sijawahi kuona hali hii simba na yanga zikicheza, ni kama kuna shughuli za kisiasa.
Vifaa hizi huwa vinapatikana wakati wa uchaguzi
View attachment 474344
TFF inasema kuna askari zaidi ya 350 na camera zaidi ya 40 kusimamia ulinzi
Wanalinda kadi na bendera zisichomwe? Kwa nini waliwasearch mfukoni? Hata wasipovichoma physically je mioyoni? Solution ñi kutenda haki tu na kuacha ubabe usio na maana yoyote ile
 
Ndio mechi pekee inayoingiza hela Tanzania
 
Safi kabisa,tunataka mpira sio siasa
Alokwambia hakuna siasa kwenye mpira ni nani? Kwa vile mmewazuia kufanya mikutano halali ya dharura watafanya lolote kwani tayari ni sugu. Refer Sarafina ya Soda Afrika
 
Sasa Mpira na police shazi hivi haina hata radha....amsha amsha Hamna....police mnaaribu radha ya game
 
Back
Top Bottom