Recent content by jangiri

  1. jangiri

    Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

    Sikufahamu taarifa hii hadi baada ya kuisoma humu,nashukuru sana JF. Mzee wetu,msikivu,mkimya asiyependa makuu,Mungu kampenda zaidi
  2. jangiri

    Makomandoo wetu wa Tanzania

    As military expert,nikutoe shaka kwa hilo,nchi ina makomando wa kutosha na mpaka unavyoandika uzi huu,kuna takribani askari mia3 wako kozi hizo sehemu tofauti duniani na wanahudumiwa na serikali hii unayotilia shaka nayo. Chuo cha Ngerengere ni sehemu ya kambi yao ya mafunzo na mengineyo ambayo...
  3. jangiri

    Ujio wa Mhe. Lowasa Chadema

    Yaani Mbowe anaonekana kama msukuma kutokea Ukondamoyo aliyeomba selfie na EL,kakaa kishamba-boi
  4. jangiri

    Lugha hizi lol

    Hebu disclose na jina pamoja na namba yake ya simu tumpigie na kumrekebisha siku ingin3 ajue. Kama mzi-maajabu kizungu chake
  5. jangiri

    Haka kajamaa kana dharau sana.

    Marais wetu wa Afrika,ni sehemu ya matatizo yetu,US$ mil 3.something
  6. jangiri

    Uteuzi wa Rais Uhuru wapingwa na kupigwa chini na Bunge

    We need such Constitutional Reform in which the House will mean fully representative of the majority. Bravo to Kenyas' House
  7. jangiri

    Nyumba za wageni Arusha

    Ndio majangiri wachache tuliobakia mkuu!
  8. jangiri

    Nyumba za wageni Arusha

    Kama unapenda kujichanganya,ingia Pin Point kuna lodge upstairs room f20,jirani yake ipo Florida Annex room f25. Kama una gari,unaweza kwenda Florida kwa mrefu km6 toka mjini kati bei f25,kwa mjini nenda makao mapya chenille f25
  9. jangiri

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Kufukuzwa hovyo askari, nahisi kutakuwa kunachangia kwa kiasi kikubwa na mbaya zaidi fukuza ya uonevu. Polisi hasa wakubwa wamekuwa miungu watu na wanachosema na kuamua ndio cha mwisho ilhali miongoni mwa maafisa sio waaminifu kama baadhi ya askari wadogo. Sipati picha kwa mtu ambaye ni...
  10. jangiri

    Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

    Nchi hii kuna hicho cheo kweli au nawe wa team +254?
  11. jangiri

    Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Hili ni bonge la movie kama la Amitah Batchan
  12. jangiri

    TAKUKURU: Wajue wahalifu wa makosa ya rushwa (List of shame)

    Acheni kuweweseka ndugu zangu wa PCCB maana sijaona majina yenu kuyabandika.miongoni mwa wala rushwa
  13. jangiri

    Ali Kiba: Huwa nasikiliza nyimbo za Diamond

    Alikuwa anaongea kiinglish kama chekechea,is is nyingi na mara ingine kutotambua motive ya swali! It was good try
  14. jangiri

    Asante JWTZ Mgulani Sabasaba: Mmeokoa maisha ya familia yangu!

    Mwisho wa akili yako umefikia hapo,huwezi kuwa mama wewe,mume wewe na mtoto wewe huyo huyo,tofautisha majukumu kwa kila mmoja. Pole sana
Back
Top Bottom