Ninavyo jua mm "k" ni kilo (laki) kwa hiyo unamaanisha 250 000? au
K ni buku Mzee
hiyo laki umesomea wapiii???
Ninavyo jua mm "k" ni kilo (laki) kwa hiyo unamaanisha 250 000? au
toka lini kilo ikawa laki moja? Kilo maana yake ni 1000 so mtu akiandika 25k maana yake ni 25000Ninavyo jua mm "k" ni kilo (laki) kwa hiyo unamaanisha 250 000? au
Limpopo guest house......
Masabeda guest house.......
Ngiwaranecha guest house.......
Mashele guest house........
Niendelee.....?.......
MONJES A,B & C. Ziulizie ziko poa na usalama pia si mbaya sana. Also ni eneo changamfu chakula (chips) any time.Habarini wadau,
Weekend ijayo natarajia kuwa Arusha.Naomba anaefahamu nyumba za wageni za bei nafuu na zaidi sana zenye usalama anijuze zilipo.
Nawasilisha.:typing:
Habarini wadau,
Weekend ijayo natarajia kuwa Arusha.Naomba anaefahamu nyumba za wageni za bei nafuu na zaidi sana zenye usalama anijuze zilipo.
Nawasilisha.:typing:
Asante Engeneer Emma. Rich iko maeneo gani?
Ni Me&Ke Ushauri wako mkuu!.:redfaces:
Hiyo bei iko juu sana,ni size ya hotel za nyota tatu labda,Hata hivyo ni vizuri kujua na ili kulinganisha bei na huduma.
Limpopo guest house......
Masabeda guest house.......
Ngiwaranecha guest house.......
Mashele guest house........
Niendelee.....?.......
Du asante kwa taarifa,BTW wewe ni Jangiri la ukweli? au fix tu! Ha ha.Kama unapenda kujichanganya,ingia Pin Point kuna lodge upstairs room f20,jirani yake ipo Florida Annex room f25. Kama una gari,unaweza kwenda Florida kwa mrefu km6 toka mjini kati bei f25,kwa mjini nenda makao mapya chenille f25