Kumzidi GPA chuo sio kigezo kabisa, kwanza mmesoma course moja? Afu hawa waseminari wengi wakifika chuo wanakuwa kama wamezuzuka na mademu plus pombe maana huko shule kwao huwa wanabanwa sana. My take, tafuta hela mwanao asome shule bora na nzuri asiwe anakariri madesa kama wewe
Mashabiki wana midomo sana, wakati anampiga el mereikh, azam, simba hakufanya sub zikalipa? Au alikuwa hana mbinu pia. Kocha ashasema hadharani Anataka striker na winga mwenye kasi. Unalaumu nini, pambana na timu yako kesho inacheza kolo wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.