Mkuu bado unajuta kuhamia kwako Kerege?
😅Kwa mafuriko ya juzi, mara daraja limekatika. Huko sio sehemu ya kukaa kabisaa
Kutokana na maelezo yabuzi wake, kapigika huyu, aliiba sana wkt wa JK so upepo uliyumba.Kerege mbona ni mjini kabisa
Watu wanakaa mbele ya Msata na wanafanya kazi Dar kama kawaida
Hivyo navyo havipatikani siku hizi. Wenye biashara wanaenda na fashions zilizopo sokoni.Nunua TV na Computer ya chogo, makochi gogo na mito ya pamba wawekee vibaka sebuleni, utaishi kwa raha hawatakusumbua.
Hapo ni mjini kabisa Kerege ni habari nyingineSie wa Mombasa/bombambili tunakoment eapi
Kwa kina semenya Busu la KengeHapo ni mjini kabisa Kerege ni habari nyingine