Recent content by Jamiix

  1. Jamiix

    KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nasikia zoezi la ununuzi limesha anza Ruvuma kwenye vituo vitano,baadhi ni Songea manispaa,Namtumbo,Mbinga, Bei ya Manunuzi ni Tsh 700 kwa kilo, Aliye karibu ama mdau wa mazao anaenunua atupe a,b,c wanalipa baada ya muda gani kwa aliewauzia mzigo?
  2. Jamiix

    Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    Safi sana,175M unamkabidhi mwenye jengo ama ni mpaka hapo ilipofikia?,total floor sqm ni ngap?
  3. Jamiix

    Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

    I like the parking,inazuia mbuzi tuu
  4. Jamiix

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwamba umerudi tena,karibu sana mzee wa Heineken,baba 3.....chotara 2 na chocolate 1
  5. Jamiix

    Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Achana na biashara,sijui ufugaji,achana na kilimo,mazao.... Kwa 80m wekeza kwenye nyumba ya/za wapangaji na fremu(hii ni fixed asset),lenga pato/kusanyo la 1.5m kwa mwezi,nakuhakikishia huta kuja kunisahau Jenga Rooms 20 (15 za makazi na 5 frame),uswazi room moja kila kitu inakula 3.2-3.5m
  6. Jamiix

    Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

    Harmonize vs Master J
  7. Jamiix

    Naombeni mchanganuo wa gharama na idadi ya materials ya kujenga fensi ya ukuta 20m x 20m

    Tofali moja ni wastani wa ~50cm,tofali 2 ndio wastani 1m na kuchapia Kwa cement ya gauge 32,tofali 50 = mfuko 1 Kwa cement ya gauge 42 tofali 60-70 = mfuko 1, Lenta ya chini kwenye udongo(cement + mchanga+kokoto) Mawe + cement Zege/mkanda wa juu yake(cement + mchanga + kokoto + nylon +/-) Eneo...
  8. Jamiix

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Mchanganuo mzuri,na mfugaji anaweza anza taratibu hata kwa kuku 2000 na akajiweka lengo la kufikisha kuku 30,000+ baada ya muda fulani na akafanikiwa Najiandaa kuanza taratibu,stage ya kwanza tayari. 1.Eneo 2.Maji 3.Umeme 4.Mabanda Kipindi cha joto naweka kuku kidogo 3200
  9. Jamiix

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Kinachotofautisha dish ni zile rangi tuu na jina wanalo andika/bandika...madish yote yapo sawa,zingatia tuu dimensions,LnB zina band(K,C) weka band sahihii ya unachotaka ukione/ujisajili...pia unaweza chukua dish 1 na ukaweka LnB zaid ya moja
  10. Jamiix

    Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

    Kuna issue nyingine hapa wazee wenzangu mnaweza ielewa.. Kuna issue unakuta mzee kaenda kachapa nje au ana mpango wa kando alafu kuna ile inakuja rumours kua mchepuko ama alipoingia peku kaathirika na VVU,ili kuepusha shari home na kumlinda bi mkubwa na familia yake kwa ujumla lazima uhame home...
  11. Jamiix

    Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

    Kuna mengi sana wanandoa wanapitia,pande zote mbili,kuna +ve na -ve Kuna kitu kwa sasa kinavunja sana ndoa,saaana yaaani.. Wake zetu hawa wanao okoka ama kutumia muda mwingi kanisani.....kuna kosa moja kubwa sana wanafanya ila hawajui,wanajenga ukaribu sana na kuwaamini hawa...
  12. Jamiix

    Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Pole mkuu, Tuelewe kwanza hicho ni kitu gani then tuangalie tatizo alafu tulitatue imsi = International Mobile Subscriber Indentification. uid = unique identification number. Hizi ni nini? imsi - Hii ni nambari ya kipekee ya kitambulisho inayotolewa kwa kila mtumiaji wa simu ya...
  13. Jamiix

    Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

    Siku mpige suprise kwake omba gemu,angalia atakapo toa huo mtandio,utakuta na zile tshirt zote kazikusanya sehemu moja na kuzifunika,ka begi hiv,box,trunk,shangazi kaja etc,lakini sio sehemu ya wazi...,kuna mwanajeshi 1,Daaah nouma sana...Cheyo Tabora alikimbia kambi akahamia shambani kwa demu...
Back
Top Bottom