Recent content by jamiink

  1. jamiink

    Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

    Shelimo pia amefariki Disemba 20, 2022 alikua anaishi maeneo ya Pugu baada ya kustahafu.
  2. jamiink

    Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Darmian nadhani hii ni moja ya sababu; Kwenye maandiko kuna sehemu baada ya Mfalme Suleiman kumaliza ujenzi wa Hekalu ambalo Baba yake (Daudi) alielekezwa kujenga, kwenye sehemu ya sala yake / hotuba yake alisema hivi; “Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja...
  3. jamiink

    Ushauri: Nimepoteza hisia kwa mke wangu, simtaki tena

    Unaweza kuta siku ukiamua kumuacha ndo mambo yanaanza kwenda kombo!
  4. jamiink

    Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

    Tofauti ya Iphone na Simu nyingine ni kwamba Vendor wa Hardware na Software ni mmoja so Specs zilizoweka zinatosheleza kwa matumizi yote ya simu. Pia security ya information zako ni ya juu zaidi tofauti na brand nyingine.
  5. jamiink

    Huyu ndugu yangu sijui nimweke fungu gani, nimevumilia nimechoka!

    Wahenga walisema mengi, Baniani mbaya kiatu chake dawa pia wakasema mtumikie kafiri upate wako ujira!
  6. jamiink

    Miaka 73 tangu kuzaliwa Bob Marley

    Me only have one ambition, y'know. I only have one thing I really like to see happen. I like to see mankind live together - black, white, Chinese, everyone - that's all. - Robert Nesta Marley 'Bob Marley'
  7. jamiink

    Tuliowahi kuangalia kombe la dunia la mwaka 1998 tukumbushane wale best players uliokuwa unawakubali

    Zidane, Davor Suker, Boban, Deschamps, Bergkamp, De Lima, Carlos Dunga, Claudio Taffareli, Sampaio, Romario, George Hagi, Shearer, Finidi George, Sunday Oliseah, Patrick Mboma, Maldini,Laudrup Michael, Laurent Blanc, Edgar Davids, Diego Simeone, Ariel Ortega, Emmanuel Petit, Stam, Overmars...
  8. jamiink

    Tundu Antipas Lissu hujaanza leo kulichafua taifa hili

    Katika maisha kuna mambo mawili tunatakiwa kuwa nayo makini. 1. Mambo ambayo tuliyafanya na hayana tija na hatuwezi kubadili matokeo yake. 2. Mambo ambayo yana tija na tulitakiwa kuyafanya lakini hatukuyafanya ama kwa utashi wetu au kwa kushawishia na wenye nguvu na hakuna tena muda wa...
  9. jamiink

    Rais Magufuli aandae chakula cha pamoja na familia za wahanga JWTZ

    Soma vizuri ulichoandika! Ingekuwa kawaida kusingekuwa na maombolezo ya jumla na majonzi kwa namna ile. Halafu pia mwanajeshi hakamiliki tu kwa kuvaa gwanda, anakamilika kwa comfort & morali anayoipata toka kwa wakubwa zake & familia yake.
  10. jamiink

    Kampuni ya ndege ya TanzanAir inayosakamwa na serikali ni ya nani? Ikawaje na uwanja binafsi ndani ya JNIA?

    Huyu Mkurugenzi wa TAA naamini yuko vizuri, inaonekana ana taarifa za kutosha kuhusu kinachoendelea na anajiamini sana wakati wa kutoa maelezo. Hii ni sign nzuri kwakweli
  11. jamiink

    Tupia Movie ambayo Hujaielewa

    Hii movie miyeyusho sana
  12. jamiink

    Viungo bora wakabaji wa muda wote top ten

    Nimewaza tu haraka haraka listi kukosa 1. Stefan Effenberg 'the tiger', 2. Roy Keane, 3. Lothar Matheus 4. Philip Cocu 5. Sunday Oliseh 6. Patrick Viera 7. Claude Makelele 8. Dunga 9. Didier Deschamps 10. Diego Simeone 11. Graeme Souness 12. Edgar Davids 13. Frank Rijkaard Kwa kukosa hao tu...
  13. jamiink

    Mashujaa wasioimbwa: Unaikumbuka Italy iliyotwaa Kombe la Dunia 2006

    Nafikiri utakua unamaanisha Roberto Baggio kile cha WC 94
  14. jamiink

    Mashujaa wasioimbwa: Unaikumbuka Italy iliyotwaa Kombe la Dunia 2006

    Gigi Buffon, Gattuso, Grosso, Canavaro, Camoranesi, Zambrota, Totti, Pirlo, Matterazi etc
Back
Top Bottom