Tupia Movie ambayo Hujaielewa

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,038
2,000
Wanajamvi, Kuna wakati unaangalia movie kuanzia mwanzo lakini huielewi, unajaribu kuendelea kuitazama kwa matumaini kuwa utaielewa lakini hadi inaisha unajikuta hujaielewa,

Tupia hapa jina la movie, pengine wadau wanaweza kusaidia kuelezea..

Naanza na hizi mbili

1. Inception
2. Twelve Monkey
3. ...

Karibuni
 

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
Wanajamvi, Kuna wakati unaangalia movie kuanzia mwanzo lakini huielewi, unajaribu kuendelea kuitazama kwa matumaini kuwa utaielewa lakini hadi inaisha unajikuta hujaielewa,

Tupia hapa jina la movie, pengine wadau wanaweza kusaidia kuelezea..

Naanza na hizi mbili

1. Inception
2. Twelve Monkey
3. ...

Karibuni
Inception hahaaa sikuipenda sana dream within a dream halaf mnaweza mkawa wote mpo ktk ndoto ya mtu mmoja. Nzuri kwa watu wa philosophy of mind.
Nyingine kama hiyo inautwa vanila sky by tom cruise
 

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
Kuna nyingine inaitwa unreasonable doubt nahisi hizi ni kwa ajili ya watu maalum.
Pia ukifatilia sana unakuta director ni mmoja mf wa inception na vanila sky ni mmoja kama sikosei
 

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
Director wa Vanilla Sky ni Cameron Crowe wakati wa Inception ni Christopher Nolan.
Ila huyu Nolan anapenda sana movies za kuchanganya akili za watu. Film zake nyingine ni pamoja na Memento, The Prestige, Interstellar - kuziangalia hizo inabidi utulize akili kweli kweli!
Yes ni Nolan kuna siku nilikuwa na mzungu mmoja tulikuwa tunaingelea movie akamsifu sana Nolan. Hasa ile Tom Hanks.
Pia kuhusu interstelar wazungu washatengeneza kitu kama hicho mwaka huu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom