Recent content by Jamesmkude

  1. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Mwenye experience na Nissan xtrail pliz anijuze uzuri na ubovu wake

    Gari ni matunzo. Namiliki hiyo Nissan X-trail mwaka wa 6. Mwaka jana engine ilisumbua badala ya kuitengeneza nikanunua used kwa 1m pale Ilala, juzi nimetoka shamba mkoani inachapa mwendo kama kawaida.
  2. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Baada ya 'Kiki' kuhamia kwenye siasa, wasanii waja na Gia nyingine

    Weusi iko vizuri!
  3. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Mhe lini una sign out maana ripoti ya Nape ilisomwa hadharani na kudhirisha uhuni wa Bashite
  4. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanzania National Parks (TANAPA) Will Smith atatusaidia!

    Wahuni wa kwenye mtandao.
  5. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanzania National Parks (TANAPA) Will Smith atatusaidia!

    Nimeona mmeanza kumtumia vizuri Will Smith. Star kama huyo atatusaidia sana kututangaza. Hata majirani wanao tumia mgongo wetu kupata watalii watatulia. Lazima dunia ijue kuna tofauti ya Tanzania na Kenya. Kwenye vivutio vizuri ni Tz na kwenye mawakala wengi wa utalii ni Kenya!!
  6. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Nape: Uteuzi huu wa Mhe. Rais una ujumbe mkubwa sana kwenye vita dhidi ya Madawa ya Kulevya

    Soma kwa makini hiyo tweet yake.
  7. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa hayuko siriaz kabisa##

    So you are a GT?
  8. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Boti mpya ya azam marine yawasili Zanzibar leo asubuhi

    Ipo Bandarini wanataka ibadili route kutoka Magogoni-Masaki-Kawe-Ununio-Bagamoyo kwenda Magogoni-Mbagala.
  9. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais ugomvi wako na serikali za mitaa haujaisha

    Ndio maana Africa haipigi hatua. Watawala wako tayari kuona wananchi wanateseka ili waendelee kubaki madarakani. Imagine walizuia maradi wa takataka kwa kuwa Manispaa ilikuwa chini ya Ukawa lakini sasa utafanyika kwa kuwa council ipo chini ya CCM, shame!
  10. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Magari mawili yafanana plate number yazua sintofahamu

    Duh hii nilikuwa sijaipata!
  11. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Tourism Board tumewaona Sunderland, Big up!!

    Tumeona Sunderland wakitangaza na kuhimiza watalii kutembelea Tanzania. Wadau tujadili kuboresha hatua hii.
  12. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa ujasiriamali mdogo katika Biashara ya utalii

    Hoja yako ina mashiko sana. Natamani wahusika walifanyie kazi suala hila. Ukiwa na gari zako mbili au tatu na una pata wageni wachache ni vigumu kuweza kulipa TALA $5,000 kwa mwaka. Ila kwa big fish kama Leopard Tours mwenye gari zaidi ya 200 na bookings nyingi kulipa amount hiyo ni rahisi...
  13. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Gari imeibiwa ikiwa na mtoto mdogo ndani yake maeneo ya Mbezi

    Nimesoma kwenye group ya WhatsApp gari ipo Mwenge wrong parking, aliyeleta TANGAZO toa ufafanuzi
  14. Jamesmkude

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

    Rekebisha heading, Serengeti boys wametolewa!
  15. Jamesmkude

    JamiiForums Tanzania Siri nzito ya Zombe na Bageni

    Hili ndiyo swali kubwa
Back
Top Bottom