cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,511
- 75,211
Uteuzi huu wa Mhe. Rais una ujumbe mkubwa sana kwenye vita dhidi ya Madawa ya kulevya! Hasa proper Co ordination ya Vita hii tukufu!. Hii ni message ya mh Nappe aloituma kwenye twitter account yake