Tourism Board tumewaona Sunderland, Big up!!


mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,650
Likes
13,682
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,650 13,682 280
Nzuri.na kuna watanzania niliwaona kwenye elclasico wakiwa wamebeba bendera za Tanzania.
 
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
4,983
Likes
3,574
Points
280
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
4,983 3,574 280
good job kikwete
 
milangomitatu

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
726
Likes
523
Points
180
Age
49
milangomitatu

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
726 523 180
Safi sana
 
C

Chronicles

Member
Joined
Jul 17, 2016
Messages
24
Likes
18
Points
5
Age
25
C

Chronicles

Member
Joined Jul 17, 2016
24 18 5
smart move, usipojitangaza hawaji
 
wegman

wegman

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
1,011
Likes
912
Points
280
wegman

wegman

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
1,011 912 280
Tumeona Sunderland wakitangaza na kuhimiza watalii kutembelea Tanzania. Wadau tujadili kuboresha hatua hii.
Wanajitahidi, nimeanza kuona hayo matangazo toka msimu wa mwaka jana wakaze buti maana biashara matangazo, Twiga peke yake nyuma ya bombadia ajitoshelezi jitihada za ziada ni muhimu pia.
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
12,669
Likes
11,299
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
12,669 11,299 280
Na leo hao wamempiga Leicester goli 2
 
City owl

City owl

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
1,503
Likes
1,980
Points
280
City owl

City owl

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
1,503 1,980 280
Wanajitahidi, nimeanza kuona hayo matangazo toka msimu wa mwaka jana wakaze buti maana biashara matangazo, Twiga peke yake nyuma ya bombadia ajitoshelezi jitihada za ziada ni muhimu pia.
Ile Bombardier yote wangei-pimp tu kwa michoro ya tinga-tinga
 
wegman

wegman

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
1,011
Likes
912
Points
280
wegman

wegman

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
1,011 912 280
Ile Bombardier yote wangei-pimp tu kwa michoro ya tinga-tinga
Au kama vipi wawaweke wale Big Four ambao kama sikosei ni Twiga, Simba, Nyati na Faru (nakubali kurekebishwa)
 
mputamaseko

mputamaseko

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
1,406
Likes
908
Points
280
mputamaseko

mputamaseko

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
1,406 908 280
upload_2016-12-3_22-28-41-png.442474

Aliye turoga wa TZ nahisi ameshakufa
 
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,112
Likes
1,841
Points
280
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,112 1,841 280
Matangazo hayo yapo tangu 2014, nadhan sasa ni muda muafaka wayapeleke CAMP NOU, OT, Darajan nk nk ili kupata coverage ya kutosha. Tutafika tu ingawa haters nao hawachoki kukejeli kila zuri la serikali.
 
mzeewakungoa

mzeewakungoa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
4,925
Likes
13,710
Points
280
Age
49
mzeewakungoa

mzeewakungoa

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
4,925 13,710 280
Kwani nimesahau yale maneno ya JK... UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE ULIWE KIDOGO .
 

Forum statistics

Threads 1,272,352
Members 489,924
Posts 30,448,280