Recent content by JAMES MDIMA

  1. JAMES MDIMA

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Kwani wangapi ambao wamebebwa kwenye serikali mpakaleo, wanatuhuma hawatolewi? Jibu hili kwanza bwana mdogo ndipo tukueleweshe hilo la Lisu. Wabunge wangapi wa chama tawala wameingia kimagumashi?
  2. JAMES MDIMA

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Hujakosea!waziri wa katiba na sheria anatakiwa awe mtu mwenye uelewa na misimamo kwenye mambo ya msingi kama huyu!yule dada yangu kwa mtazamo na mawazoyangu binafsi anapyaya na anaongozwa na watu fulani,hawezi kusimamia jambo au kuishauri vema serikali kwenye mambo ya msingi!
  3. JAMES MDIMA

    AU na nchi za Afrika kutoitambua serikali ya waasi Libya?

    Acheni unafiki! Gadafi alitupiga kagera!alileta vifaa vya kijeshi, pesa,Makomandoo wengi kwa kuisaidia uganda nduguzetu wengi walikufa nyie mnajua nini?acheni ushabiki wa kijinga!tena sisi hakua na sababu hata kidogo!hilo hamlioni mnaleno jambo tena si dogo!
  4. JAMES MDIMA

    Nimeitupa engagement ring dampo

    Kwahiyo unasemaje?Kwanza hujatulia!ungemuua bure jamaa yetu !Na yule mshikaji niliekuona nae ukawa unajichekesha umemuacha!umeachwa usijishebedue!
  5. JAMES MDIMA

    Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

    Mkubwa Rema!Hii ni mipango ya WASHIRIKA WA YULE KAMANDA ALIYETAKA KUCHAFUA JINA LAKO HIVI MAJUZI!NA SI UNAJUA HAWAJAMAA WANA BIFU NA WEWE! KOMAA TAKE CARE HAWAJAMAA WANAMBINU CHAFU!
  6. JAMES MDIMA

    Sifa mbaya za makabila yetu

    Wewe bwana mdogo acha hizo kwa bahati mbaya kabila yangu umeisahau aukwavile sio kubwa?alafu wewe una kaelementi ka ubaguzi!Tanzania ina makabira zaidi ya miamoja kwanini utaje haya tu kama huna matatizo ya akili?Huu sio mda wa kuulizana kabila!eleza mtufulani ana matatizo! kamaungekuwa mstaarab...
  7. JAMES MDIMA

    My wife to be ananuka mdomo,naogopa kumwambia!!

    Huyu jamaa ni mpumbavu!mzaririshaji!mshamba!ungekuwa kweli unampenda na ndo mtarajiwa wako usingesema hayo yote!bali ungesema jamani nini dawa ya tatizofulani?usimpotezee dada wawatu mdawake fataki we!
  8. JAMES MDIMA

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    Dada Regina tukopamoja!Jina la Mgombea aliyeshinda kupepelusha bendera ya chama chetu Igunga ni nani?
  9. JAMES MDIMA

    Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

    Polepole kaka usiwe na hasira!huo ni ujumbe tu kwa wale unao wahusu sio wewe brother!
  10. JAMES MDIMA

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Kama wote ulivyosema!ni sahihi kabisa kwakua najua wajua mbinu gani wenzetu wanazitumia!kam ni mfuatiliaji mzuri wa mambo,kwenye kura za maoni tu ndani ya chama chao wenzetu washakamatana na rushwa!wangekua wapinzani ndio wamefanya mchezoo huu mchafu ungesikia!nashangaa kama unatupima kwa jimbo...
  11. JAMES MDIMA

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    Regia Mtema Dada yangu kaza buti!Tukopamoja!Watanzania wa kirombero, Ulanga, Mvomero na Kirosa tuamke Wakubwa wanamaliza Mashamba! Dada regina twendeni tukawaelimishe nduguzetu hao watanzania wa maeneo hayo wafahamu hakizao za msingi!
  12. JAMES MDIMA

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    Ritz! Usiwe na moyo kama wa farao ndugu yangu kama wewe na wengine tunajua mnanufaika na haya yanayotendeka!tuacheni tukomboe wale wengine wanaotaabika !
  13. JAMES MDIMA

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Plan C ni Kumuomba huyo muheshimiwa ambaye tunasikia kwamba ni mtumishi wa uma aliyeweka vijisenti kama tilioni tatu kule SA ,Atusaidie kidogo maana nasikia ni mbabe aliwahi kututisha kipindi fulani!,
  14. JAMES MDIMA

    Bungeni: Zitto Kabwe amtolea uvivu Shibuda

    Hivi huyu Shibuda skendo yake imeishia wapi?
  15. JAMES MDIMA

    Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Igunga

    Tuko pamoja dada! ,Wajumbe wa kamati kuu hakikisheni mnachagua mtu makini ili chamachetu kipate ushindi mkubwa!
Back
Top Bottom