Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

Gamba akikusaka bwana hata boy friend wa housemade atajumlishwa katika tuhuma zako bora kukuchafua tu. Thanks kwa taarifa Mkuu

Kama vile anavyosingiziwa Slaa kuwa kazaa na mke wa mtu na kaliasi kanisa katoliki akiwa Padri, si ndio?

CCM mlipindua matokeo ya makongoro ili jimbo la Arusha baada ya uchanguzi kurudiwa ccm yote ilihamia Arusha kwa zaidi ya wiki 2, mkatumia pesa mkafanikiwa kuchukua jimbo safari hii fanyeni mjuavyo ccm hapa arusha hamna chenu jaribuni chalinze, mnangangana na Arusha kuna nini

Historia inawaza kumuhukumu mtu Je lema alikuwa anashilikiana na majambazi na huyu katibu mkuu?

Meya wa Mwanza 2005-2010 antuhumiwa kuua kesi iko mahakamani.

Mbunge wa Busega 2010 hadi sasa anatuhumiwa kufanya jaribio la kuua kesi iko mahakamani
Mwenyekiti Halmashauri Rungwe ameuawa watuhumiwa wana ccm kesi iko mahakamani, na zingine nyingi tu ongezea na u - coment juu ya hizo

Dawa ya jeuri ni kiburi hiv magamba kuwa na heshima ni hadi tumuoe mwamvita hamna adabu mbona madingi yenu ndo majambaz makubwa

Ipo propaganda nyingine ambayo itakuja soon kuhusiana na Mbunge Lema Ama kubaka au kukutwa na madawa ya kulevya ama kulawiti wapo watu wamefuatwa ila na wao wamekuwa wakitoa taarifa hizo hivyo punde ushahidi ukikamilika utawekwa hapa na wale wanaohusika kuumbuka , stay tuned.

Kuna vitu vinatia hasira sana hii nchi. Hawa viongozi wetu badala ya kubuni namna ya kumaliza mgao wa umeme, au kutatua tatizo la foleni za magari kwenye miji mikubwa, au hata kuchunguza wahujumu uchumi i.e meremeta EPA wauza wanyama hai etc, wao wanajikita kwenye mbinu za kumbambikia kesi za kashfa Lema. Nadhani Rostam Azizi alikuwa sahihi kabisa kusema siasa UCHWARA.

Kwa Kweli Waafrika ni LAANA!!
Yaana Serikali inatumia mahela meengi kupambana na mtu mwepesi kama Lema!! Kisa eti kataka haki itendekek kwenye uchaguzi wa meya!

Angalia yanayofanyika Mwanza wamachinga hawana amani kisa. Eti walishinikiza matokeo halisi yatolewe!!
Angalia MBeya Meya anauawa na wagomvi wake wa kibiashara propaganda za chini chini zinaenezwa eti huenda CDM wanahusika!

BADALA YA HAWA WANAOJIITA USALAMA WA TAIFA KULINDA MALI ZETU ZINAZOPANDISHWA NDEGE KILA SIKU KWENDA ULAYA, WAMEKALIA MAMBO YA KIPUMBAFU KABISA!

National security must change their mind set! its not about CCM its about NATIONAL PROSPERITY!

Sina shaka kwamba viongozi wote wa chadema wako makini dhidi ya njama zozote zinazoandaliwa na magamba kwa kushirikiana na serikali yake,kwahiyo hawatanaswa na mitego kama huu.
Na kama kuna yeyote alikuwa amebweteka basi hii ni kengere ya hatari kwao wajipange vizuri kukabiliana na hujuma za magamba na serikali yake. Kama kweli wanadiriki kuchafuana na kupakaziana wenyewe kwa wenyewe hawashindwi kuwachafua wapiganaji wa kweli. Ama kweli Lema amewashika pabaya magamba!

naweza nikasema kuwa kama ni ugomvi wa wanaume wawili basi mmoja ameshikwa korodani, ( i mean CCM imeshikwa korodani imebaki kuhaha) mazengwe wanayofanyiana wenyewe kwa wenyewe tena bila aibu ni ishara mbaya kwa upinzani, hadi sasa wameshafeli

mkuu BOND, umesema vema hakika hii nchi ina kera sana ikosiku tukiwashindwa kuwangoa basi tutafinda hatuwezi kuvumilia uhuni huu ukiendelea na sisi tuna akili zetu tunajua wanachofanya..

Dawa ya jeuri ni kiburi hiv magamba kuwa na heshima ni hadi tumuoe mwamvita hamna adabu mbona madingi yenu ndo majambaz makubwa
lengo la CCM ni kuivuruga chadema Arusha kwa namna yoyote ile ya madiwani imechesha wanacho kifanya sasa ni kumzoofisha lema kuelekea maandamano yanayo kuja, wanafikilia wanashughuliaka na watanzania wa zama za NCCR ya mrema..

the whole issue looked so fishy, polisi wanajitumbukiza ktk biashara ngumu sana kwa kujiingiza kwenye siasa maana hata ktk taarifa yao

wametaja jina la Lema kuliko hata la mhusika mwenyewe na mkitaka kujua kuwa polisi is playing politics mtaona hata baada ya ukweli

kujulikana kuhusiana na mhusika kwamba hana mahusiano yoyote ya kikazi na Mh.Lema lakini bado polisi hawatatoa ufafanuzi wowote kusafisha story lakini kama ingekuwa ni mtu wao anahusika ungemuona SAIDI MWEMA mwenyewe anaitisha press conference kukanusha habari zote hizi.

ni kweli mkuu

Magazeti ya udaku mapya haya hapa
1.Habari leo 2.uhuru 3.sauti huru 4tazama tazania 5...........namba moja ni habari leo bora hata na sani au risasi wandishi wake ni kama wanatumia masaburi kuandikia wanatisha wapo juu

<br / we kazi ya mgonja unaitakia nini? Uwe ni ujambazi, utapeli au kazi yyt haituhusu wala haimuhusu kamanda wetu lema.

Inawezekana kazi ya Mgonja baada ya kuacha kazi kwa Lema ilikuwa ni ujambazi. Kutokana na hili, tunaweza kuunganisha kazi hii mpya na historia ya Lema kuhusiana na kuhusishwa kwa Mhe huyu na uhalifu wa aina mbalimbali ukiwamo wizi wa magari.

Inawezekana Mgonja alipangiwa hiyo 'kazi nyingine' na Mhe Lema.

Nilijiuliza ila sikupata jibu

Ajabu kweli...Safi sana wana mageuzi

hivi ccm na wana magamba wote wanafikiri kweli wataiharibu chadema kwa vituko?hayo magazeti ya habari leo na uhuru nafikiri pia wahandish wake wote walifeli masomo hata wanavoandka ni dhahili kabisa no profession ethics.

Ndege wafananao ndio uruka pamoja, Jambazi rafiki yake Jambazi.
Wameiba sana magari wote, wapo pamoja toka mwaka 1990 wamefanya ujambazi sana

yule bwana aliefunguliwa geti la mbele la ikulu apaki ferari lake kwa shutuma alizonazo tumtafsirije mwenyeji wake wa ikulu kwa mantiki hii unayotaka kutuaminisha hapa?

Mkubwa Rema!Hii ni mipango ya WASHIRIKA WA YULE KAMANDA ALIYETAKA KUCHAFUA JINA LAKO HIVI MAJUZI!NA SI UNAJUA HAWAJAMAA WANA BIFU NA WEWE!
KOMAA TAKE CARE HAWAJAMAA WANAMBINU CHAFU!

Ikithibitika kuwa huyu katibu wa zamani wa Mh. Lema ni Jambazi kweli ina maana Mheshimiwa aliajiri Jambazi kuwa katibu wake. Labda ithibitishwe tena bila chembe ya shaka kuwa huyo katibu wa zamani alianza ujambazi kati ya mwezi Juni na sasa mara baada ya kuacha kazi za Mh. Lema.

Wabongo bana watuhumiwa ujambazi wakubwa wakubwa akina RA, EL, Chenge, Jeetu, JK, Uncle Ben etc. wanapeta tu, tena wakifika huko maeneo yao ni makofi na red carpet all the way!

Sasa huyu sijui katibu ambaye polisi wenyewe wamekiri kwamba ni gari yake inayofanya kazi ya kukodiswa ndiyo inayotuhumiwa kuhusika na ujambazi tunakomaa kama nini. Kuna mtu hapa amejuliza hiyo gari ilikuwa inaendeshwa na nani wakati huo?

Huyo dereva mbona anakuwa spared habari inaruka kwa katibu wa zamani wa Lema halafu inaenda kwa Lema hahaha ahahahaha ahahahah!

Duh Francesco!!! Huyu ni Mtaliana nini? Sio Mafia GANG Huyu.

kuweni makini sana viongozi wa CDM maana ccm inatafuta kila njia kuonekana wema machoni mwa wananchi lakini si kweli

kwani hana jina mpaka jina la lema lionekane kama sio kuchafuana! hila za magamba tunazijua, shame on uuuuuuuuuu!!!!!!hata polisi acha kutumiwa au 150,000 mnazolipwa kama mishahara mnalizika nazo??? acha hizo huu ndo mwisho wa magamaba

Similar Discussions

Back
Top Bottom