Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

Kazi nzuri!mbona huku Tanga hamji?naona nguvu ya chadema huku kwa wasambaa,wabondei,wazigua,wadigo nk ipo chini sana.jitahidini mfike huku kwan wananchi wenge bdo hawajahamasika na hiki chama cha ukombozi tanzania

kweli kabisa mkuu, ila avatar yako ilinichanganya na ya member mwingine, nafikiri ezan, nilijua ni yeye.
 
Safi sana Makamanda, endeleeni kukuza na kupanua demokrasia ya nchi yetu. Tunahitaji ukombozi wa kweli. Mikoa ya kanda ya kati iko nyuma sana. Kufanikisha malengo ya ukombozi wa kweli, tunahitaji makamanda kama akina Godbless Lema kamanda mpambanaji asiyeogopa chochote. Big up makamanda tupo nyuma yenu.
 
Arafat,ritz,faizafoxy,ze marcopolo,badoniponipo,rejeo,Against chadema,mr mark na leader wao malaria sugu.
Msihangaike na hawa jamaa wanakazi kubwa ya kupindua ukweli.
 
Naambiwa walikuwa wamefunika dunia nzima, watu hawataki ujinga tena kuna kazi uchaguzi ujao!
 
Hivi wewe kazi yako ni ipi Mbunge au msemaji wa chama.
Kazi za ubunge unazifanya muda gani au ubunge wa viti maalum kazi zao kuongoza maandamano
Ritz!
Usiwe na moyo kama wa farao ndugu yangu kama wewe na wengine tunajua mnanufaika na haya yanayotendeka!tuacheni tukomboe wale wengine wanaotaabika !
 
Regia Mtema Dada yangu kaza buti!Tukopamoja!Watanzania wa kirombero, Ulanga, Mvomero na Kirosa tuamke Wakubwa wanamaliza Mashamba!

Dada regina twendeni tukawaelimishe nduguzetu hao watanzania wa maeneo hayo wafahamu hakizao za msingi!
 
wish ningekuwepo hapo wadau na kombati maridadi, CCM mmekwisha mwaka huu. safi sana Makamanda wetu tupo nyuma yenu kwa lolote lile!!
 
Watu wenyewe walikuwa kumi picha utapata wapi
Ndege mmoja aliye mkononi ana thamani kuliko mia walio mtini,

Tatizo lenu pro CCM hamuanzishi habari za CCM mnasubiri matukio ya CDM ku-discuss, matokeo yake mnakuwa mnai-promote CDM bila kujua, hamuoni kuwa CDM wamewazidi akili kwa kuwa-keep busy kuongelea chama chao na kusahau chenu, nafikiri propaganda machinery ya CCM ina tatizo somewhere.

well, unaposema watu wenyewe walikuwa 10 tuambie CCM leo wamefanya mkutano wapi hata wa watu 10, kwa sababu toka jana tunasikia ni CDM Igunga, Mpendazoe Morogoro, Slaa Katesh, Lema Singida wapi CCM, think twice!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom