Mkuu,
wala usihangaishe kichwa, huyu mwenzetu sometimes ni very controversial.
Umesababisha nikumbuke utata wa misimamo yake tangu alipokuwa akituelezea habari za mgomo wao UD siku za nyuma.
Maelezo yake mengi yalikuwa ndivyo sivyo!! huyu ndugu ni lukewarm
Muhimu kwa wapambanaji ni kusonga mbele tuu.
Mara nyingi retreat is not Ignorance na sio sign ya weakness,...
Hata kwenye movies tunaona ili umshinde adui lazima sometimes u-salende kwenye kambi yake
then from ndani ndo utajua jinsi ya kupigana nao.
Chadema haina nguvu Igunga,sikatai kwamba wasisimamishe mgombea maana
wakisimamisha ndo itakua mwanzo wa chadema kuanza kufahamika vyema huko.
Lakini ukweli ni kwamba chadema kushinda Igunga kwenye huu uchaguzi mdogo
ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano ila kushiriki kwao Igunga ni maandalizi
mazuri ya 2015.
Kama ni kweli chadema inakubalika Igunga kama alivosema sis.Regia na "mamia" waliwapokea
basi usingekawia kuona picha hapa,....trust me.
Anyway,i wish them the best katika maandalizi ya 2015 sio saivi,.....
i still stand on my bet kwamba chadema will rank number 3 kwenye huo uchaguzi
nyuma ya CCM na CUF,......
Lets be realistic kidogo