Sasa hii imekuwa topic ya kufundisha kizungu? Jamaa kasema na nyie mmefahamu sasa kuna nini tena hapo, tukirudi kwenye hii mada ya huyo mpumbavu wenu Slaa, kwanza kabisa TANZANIA haitakuja tawaliwa na CDM kwasababu ya wahuni mnaowachagua, pili Slaa hawezi kushika hii nchi kama Rais hata akihamia CCM,ni mtu anajulikana kama Dikteta na mpenda fujo. Tatu CDM hawana hela na wala hawatapa wafadhili kutokana na sera zao zakijinga.
Nyie wanacdm wachache mtabaki kupiga kelele humu JF tu huku sie wanaccm tunasonga mbele. 2015 ndio mtajua CCM ni nani, hampati hata majimbo kumi.