Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitunuku Tuzo Maalum Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kufuatia mafanikio yake ya kurejea kwenye faida kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu cha changamoto za kifedha.
TTCL imepata faida ya Shilingi bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.