Niipanda ukuta taifa nje hakukuwa na askari, wakati wa kuingia sasa nimetanguliza miguu kumbe chini kuna askari the rest ilikuwa story nzuri sana! Nilikuwa mkimbiaji mzuri sana, nafikiri yule askari tukikutana leo atajua aliyemuona siku ile hakuwa binadamu maana nilitimua mbio zisizo za kawaida...
Ni kweli ukiangalia ile simulation yake kinakata kona na kurudi baharini na njia ya kurudi ni Mtwara although hakitakuwa na nguvu kama wakati kinaingia nchi kavu
Wananchi wa Tanzania tumekuwa na mazoea mabaya kila kitu tunafanyia utani hata vile ambavyo ni serious, hii sio JF ya zamani wakati watu walikuwa wanaungana kwenye serious issues kama hii nakuwa kitu kimoja
Mkuu kuna vitu vya kufanyia mzaa lakini wakati wenzio wanaumia wewe unafanya mzaa nafikiri kibinadamu sio sahihi, wakati mwingine tunahitaji kuwa serious na serious issues sio kila kitu ni utani
Kuna mmoja amenitumia sms kuwa nikitaka kujiunga na Freemanson nimpigie, nampigia apokei nataka nitampeli yeye
Niliwahi fanikiwa mmoja alipostuka akaomba nifanye nae kazi
Mkuu hivi unafikiri wanachana wa CCM hawana haki ndani ya nchi hii? ebu tuwe wakweli, nchi ya watu wote na sio ya wapinzani peke yao. Wakati mwingine sentiment ni mbaya kuingiza kwenye issue za kitaifa
Pasco yuko sahihi, Ruge alikuwa muhimu sana kwenye siasa za Tanzania, ameshape vijana wengi kuweza kushiriki kwenye siasa wakiwa wamependa wenyewe au hawajapenda
Wale wa vyama vya upinzani tujifunze kitu kimoja haina maana kila aliyeko CCM hawapendi Watanzania, kumbuka CCM pia ina Watanzania...
Hapa ndio mtaona umuhimu wa kupoitia upya mitaala ya elimu zetu, kama graduate analalamika kazi hakuna, wa darasa la saba atafanyaje? Mitaala inatakiwa iwajenge graduate ili wakimaliza wajiajili na waajili darasa la saba! Ni wakati sasa serikali kubadirisha mitaala yetu, tuachane na mitihani...
Ushahidi kuwa Dunia ni duara uko wazi kabisa, tumia jua! Linaanza kutoka mashariki lakini haliwaki dunia yote linawaka kidogo kidogo na kuzama hivyo hivyo
Ingekuwa flat lingekuwa linawaka kwa wakati mmoja au linazama kwa wakati mmoja, nafikiri wanaosema ni flat wanaacha hii evidence makudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.