kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 489
Kama ipo flat, majira ya mchana na usiku tunapataje!? Muda na vipindi tofauti tofauti tuna pataje! Ikiwa flat unajua gravitation ita athiri vp walio katikati ya dunia na walio mbali nao itaathiri vpBila kujilazimisha kuelewa hautaweza kulazimishwa kuelewa. Inshort hakuna aliyeweza kufika maana kuipata ni lazima uwe nje ya dunia na hakuna pakutokea!! Yaani ni sawa uitake picha ya kati kati ya dunia katika dunia mviringo!