Recent content by Jakomhabari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Prison warned for disobeying court order on Sethi’s health

    Prison warned for disobeying court order on Sethi’s health THE Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam yesterday warned the prosecution and prison authorities for disobeying its orders requiring them to take to Muhimbili National Hospital (MNH) for treatment prominent businessmen...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

    Dah! Siasa zikitumika katika uendeshaji wa kesi kama hizi, kamwe hatutapata jibu kamili kuhusu nani alihusika kufanya nini katika sakata hili ambalo linaonekana litawasomba wengi. Kikubwa ni kwamba kama viongozi wetu wanayo nia ya dhabiti ya kuyamaliza mambo haya, basi waziache vyombo husika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

    U Unaweza ukamdhoofisha mtu hadi ukampoteza kabisa. Baada ya hapo? Tuta recover hizo fedha kwa njia gani?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

    Hayo ndo maswali ambayo hawa wanaopuuza amri ya mahakama, wanapaswa kujiuliza.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

    Akifa kabla ya kesi yake kumalizika, je lengo la kuwafikisha mahakamani litatimia?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

    Wanajamvi, naomba kuleta kwenu mada hii ambayo ninafahamu kuwa itapata wachangiaji wenye mitazamo hasi na wengine wenye mitazamo chanya, ukizingatia mitazomo iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu muhusika mkuu katika mada hii. Mimi binafsi nimebaki kujiuliza maswali mengi kuhusu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Rangi katika shule za kimataifa

    Jina la shule ni International School of Tanganyika (IST). Ndugu wana JF, naona wengine wanashabikia tabia hii ya ubaguzi. Mimi binafsi sikatai kwamba ni mweusi. Ila, isifike hatua ambapo uweusi wangu unatumika kama kigezo cha kininyima haki fulani, au kunifanyia kitu kitakachoniathiri...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Rangi katika shule za kimataifa

    Uamuzi wa aina ya shule mzazi angependa kumpeleka mtoto wake, inatokana na sababu nyingi. Mimi kama mzazi, kwa uelewa wangu, niliamua kumpeleka mwanangu katika shule ya kimataifa ili apate elimu kwa ajili ya uelewa wa mambo mbalimbali ya kimataifa (education for international understanding)...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Is the Government aware of Racism in international schools?

    Tanzania prides itself with various cultural communities living together in harmony. This is a trait which was not achieved overnight. Our founding fathers of this nation worked very hard to inculcate this trait in the hearts of various communities. Surprisingly, there are individuals who have...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Racial discrimination in international schools

    It is scary to see how students/pupils are suffering in silence in the hands of heartless international school staffs whom instead of molding our children to be good future leaders, they plant in them the seed of racial discrimination. As parents, we choose to take our children to international...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Cronyism hiring at TPC HOSPITAL for whites

    Andika kwa Kiswahili kama Kiengereza hauwezi. Write in Swahili language if you can't construct a proper sentence in English.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke Kuvaa Nguo au Kulala bila kuwa Muangalifu:Ukijua Huyu ni nani, Utanielewa zaidi...

    Mbona mnatisha watu jamani?
  13. J

    JamiiForums Tanzania HAL yafanya kazi miaka 8 bila kibali cha TBS

    KAMPUNI inayojulikana kama Hanspaul Automechs Limited (HAL) iliyopo Arusha imekuwa ikifanya kazi nchini kwa takriban miaka nane sasa bila kuwa na idhini ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS). HAL ilianzishwa mwaka 2007 ikijishughulisha na utengenezaji na uuzaji ndani na nje ya nchi mabodi ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ya Rais Magufuli kuifadhili IPTL BIL. 100 2016/2017

    Mimi nafikiri tusiwe wepesi wa kulaumu tu bila kudadavua sababu za Serikali kuchukua hatua kama hii. Tusiwe watu Wa kulishwa tu the negatives kisha tukakubali kufurahisha nafsi ya mwingine. Zitto kama msomi na kiongozi anaeaminiwa na wafuasi wake wengi angepaswa kutuambia kuwa kubadilishwa kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    Hawezi kuwa Governor hata kwa dawa. Hana sifa ya kuwa mtumishi wa Serikali kwa sababu si Raia wa Tanzania. Soma historia yake vizuri.
Back
Top Bottom