Jakomhabari
Member
- Jul 29, 2015
- 26
- 15
- Thread starter
- #21
Jina la shule ni International School of Tanganyika (IST).
Ndugu wana JF, naona wengine wanashabikia tabia hii ya ubaguzi. Mimi binafsi sikatai kwamba ni mweusi. Ila, isifike hatua ambapo uweusi wangu unatumika kama kigezo cha kininyima haki fulani, au kunifanyia kitu kitakachoniathiri kisaikologia.
Hawa watoto wadogo wakifanyiwa kitendo cha kibaguzi, kinabaki kuwaumiza na inawaathiri kisaikologia. Hata masomo yao inaweza ikaathirika vilevile.
Hebu tuwe serious kwa hili.
Malalamiko yamepelekwa hadi kwa uongozi wa shule (hadi kwa Board of Directors), lakini wazazi walioripoti matukio hayo, hawapewi majibu ya hatua iliyochukuliwa. Wanasema tu kwamba wamemkanya mhusika (ambaye ni Vice Principal wa upande wa shule ya secondari, Ms. Kristine Greenlaw)
Sote tunajua kuwa haki ili iwe imetendeka, ni lazima ionekane imetendeka. Sasa ukifanya mambo kimya kimya, bila ya kuwashirikisha wahusika, itabaki ni siri yako. Hatua hiyo, ni sababu mojawapo ya mimi kuamua kuileta hii uzi hapa JF.