Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

Nani anataka Sethi wa IPTL afe gezerani?

wacha afe tu, kwan yy ni nani hadi asife
Kwanini usife kwanza wewe? Tekelezeni amri za mahakama zenu wenyewe la, kama mna jambo mnalolihofia kutajwa mahakamani. Nachelea kusema kuwa hakuna mpango mkakati wa kuficha jambo fulani msilotaka tulisikie. Mtibuni kama mahakama ilivyoelekezw ili tuujue ukweli kutoka kwake!
 
~~~>>>Huwa sina huruma na haya majizi yaliyotuibia kwa miaka mingi...... Wapo maskini wengi sana waliofia Jela na Polisi si kosa kwa matajiri nao kuungana nao.


Wakati wanafisadi taifa letu hawakujua kama wanaumwa¿¿¿
 
Hakuna faida yoyote ambayo serikali itaipata kama huyu jamaa atafia rumande. Cha muhimu ni yeye awe na afya aweze kuwaeleza mahakimu na mahakama ni michezo gani waliicheza hadi wakalipwa hela za escrow na kina nani wapo nyuma ya IPTL ambayo inakomba billions of money za TANESCO kila siku.

Na mwisho kabisa lengo liwe ni kuzipata hela za wananchi ambazo IPTL analipwa. Hili litafanikiwa kwa urahisi kama huyu kinara atakuwa na afya na kuikabili kesi yake mahakamani yeye mwenyewe
 
U

Unaweza ukamdhoofisha mtu hadi ukampoteza kabisa. Baada ya hapo? Tuta recover hizo fedha kwa njia gani?
Unataka ku recover fedha zipi ndugu? Kumbuka fedha zaidi ya 60% ziligawiwa kwa wale waliochota kupitia Stanbic bank na hadi leo hii hawajulikani. Tambua kuwa kundi hilo inawezekana ndio linalotaka kuhakikisha Seth anapoteza maisha ili wao wasiweze kujulikana na ni wazi wengine inawezekana ni wale wasiotakiwa kuguswa.
 
Nonsense what will you benefit by his death? Think twice before you make such a nonsensical statement. Regardless of his problems, He is still a God's creation just like you and I

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you think singasinga grabbed the money from BOT by force?? If not then who do you think authorized its release?? Do you think whoever those people are, they will be happy to see all of their secrets revealed?? What other better way to protect themselves than to make sure singasinga is silenced forever??
 
Tuna wengine 51 huko Geita wamepewa dhamana na mahakama zaidi ya mwezi mmoja sasa lakini wapo gerezani mpaka leo.
 
Dah! Siasa zikitumika katika uendeshaji wa kesi kama hizi, kamwe hatutapata jibu kamili kuhusu nani alihusika kufanya nini katika sakata hili ambalo linaonekana litawasomba wengi. Kikubwa ni kwamba kama viongozi wetu wanayo nia ya dhabiti ya kuyamaliza mambo haya, basi waziache vyombo husika vifanye kazi za kitaalam na wahusika wote wawepo kujibu walivyohusika. Endapo mmoja kati ya wahusika wakuu atapotea au atakuwa dhoofu kabla ya kusema mchezo mzima ulikuwaje, basi mbwembwe hizi zote za kuwafikisha mahakamani vigogo hawa, itakuwa ni kiini macho tu.
 
Back
Top Bottom