Recent content by jaiy4

  1. jaiy4

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nipo Arusha
  2. jaiy4

    Wauza smartphone tukutane hapa

    HTC 10 ( International version) Rom 32Gb Ram 4g Camera (rear 12mp) front 5mp Quick charge (50% in 30 mins) Headphones NB:imetumika miezi miwili tu haina michubuko wala tatizo lolote, bado mpya kabisa Bei Tsh 700,000 Tuwasiliane kwa namba 0763496278
  3. jaiy4

    Tongoza au shobokea kwa kilugha yako hapa

    Kijerumani sio kidachi
  4. jaiy4

    Tongoza au shobokea kwa kilugha yako hapa

    Ach!!! Das ist aber schön!!! ledige Frauen... Wenn ihr euch allein fühlt Kommt hier bei mir ... Ich bin euer Retter
  5. jaiy4

    Kwanini kutongoza imekuwa ni kwa wanaume pekee?

    Usiogope we tongoza tu...
  6. jaiy4

    Naanzaje kumsemesha mpenzi aliyeninunia?

    Hii mbona rahisi sana... We mwambie hata kama umenuna mi nakupenda...
  7. jaiy4

    Napenda sana wake za watu, tatizo ni nini?

    A true gentleman anaheshimu wake za watu na kila mwanamke kama vile anavyomheshimu mamake yake na dada yake au ndugu zake wa kike wote
  8. jaiy4

    Maujanja ya kumzimisha demu na kutimiza haja yako

    Dah mkuu!! Akizinduka tu una kesi ya kubaka...
  9. jaiy4

    Nampenda lakini ana watoto watatu ushauri wenu please

    Acha uoga, oa kuwa mume na baba
  10. jaiy4

    Msaada wenu: Urafiki na watoto wa kiume

    Urafiki na watoto kiume... Ni kama kumpeleka mtoto wa swala akacheze na watoto wa simba...
  11. jaiy4

    Wanawake tunawatesa au wanatutesa?

    Yote.. Tunawatesa ... Wanatutesa
  12. jaiy4

    Kosa la kwanza kwa Gwajima na Manji ni kwenda polisi kabla ya wakati

    Nimeota watakaa Central mpaka jumatatu
  13. jaiy4

    Mpenzi wangu ananibania sex

    Oa kwanza! Alaf tuone kama ataendelea kukubania
  14. jaiy4

    Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

    Hapo hamna namna, tulia tu maumivu ya kupigwa chini yapoe... Kamatia mwingine, warembo wamejaa
Back
Top Bottom