Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Ni ukweli usiofichika kuwa asilimia kubwa ya wanaume huvutika na wanawake wenye makalio makubwa
Na kweli wapo wanawake waliojaaliwa neema ya kutosha kiasi cha kumvutia mwanaume yeyote rijali
Hali hii imewafanya wasio na makalio makubwa wakose cha kuonyesha maana siku hizi hata wanapopiga picha huonyesha uwezo
Wale wasio na maumbo yenye kuvutia baadhi hujichukia na kuona kama hawana bahati
Hali inayosababisha 'waliojaaliwa' wazidi kupanda uendawazimu kwa kudhani wamemaliza
Sasa hali imekuwa tete, 'wasio nacho' wanafoji ili mambo yaende sawa
JE, WANAWAKE WANATUTESA AU TUNAWATESA?