Naanzaje kumsemesha mpenzi aliyeninunia?

Naanzaje kumsemesha mpenzi aliyeninunia?

Jifanye unampa taarifa juu ya Report ya Nape saa nane ya leo...
 
Dah! Wanawake wanahitaji kupendwa, kutambua hisia zao, kufahamu wanachohitahi kutoka kwako na kutambua umuhimu wako kwake sio wa kuwabwatukia ndugu Tanga'na. Yaani aliponuna alikuwa sahihi kabisa(Kwa mawazo ya Wanaeake) ilitakiwa wewe uanze kumbebeleza kwa kumwambia ulikokuwa na kwa nini ulimkatia simu!. Hapo mchezo ungeisha kwa 3-0.
 
Kanunaaa!!!!!!,,,, tafuta pesa ww mapenz ya kununiana yashaptwa na wakatiiiii.,,, pesa ngum ata mapenz nayo yawe magumu????
 
Unamsemesha wa kazi gan we funua piga viwil lala mwache aendelee kununa lakin juma na roza hawanunianagi
 
Mtakie ucku mwema au mtext karbu chakula na uongeze jna unalotumiaga kama n honey, baby au......... atajibu2
 
e600fe7e8602a25712e6bc02dc49a033.jpg
 
Hello jf.
Jana nilikua zangu nacheck game ya man u vs middlesbrough,huyu shemeji/wifi yenu akawa ananipigia,asa kutokana na kelele zilizokua mahali pale sikuweza kumsikia vizuri akakata simu yake,asa game ilvyoisha ikabidi nimpigie kujua alikua anasema nin muda ule ila suprisingly akawa eti kaninunia basi na me nkamuongezea kwa kummbwatukia nkamwambia sipendi kununiwa kwa ishu za kipuuzi maana ye kwa akili yake alihisi nilikua na manzi mwingine,so tangu jana mpaka sasa hakuna aliyekwisha mtafuta mwenzie.
Hapa me tayari nishammiss,lakini naomba kushauriwa gia gani ya kumuingia huyu mtu wakuu ili asione kama nimejipendekeza kumtafuta akavimba bichwa.
Ukitaka mke au dem wako akusamehe au umsamehe haraka wewe jipendekeze mbambie halafu mpe show ya kibaba.Baada ya hapo mtoe out yaani muende sehemu tofauti mpate chakula!
 
Mwambie unaumwa tu kama anakupenda atakuja tena na matunda ya bure, kuliko kumtumia m pesa
 
Back
Top Bottom