Recent content by Jairos

  1. Jairos

    Gazeti lipi kati ya haya linaandika habari za haki bila upendeleo?

    Magazeti mengi yanaandikwa ili kutangaza matukio tu, na sio kuchambua kwa kina au kufumbua macho watanzania juu ya mambo fulani chini ya carpet.. Hii yote ni kutokana na vitishio kuogopa Fungiwa
  2. Jairos

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Kwa mpango huu saizi kila baada ya nyumba mbili utasikia kuna Msanii wa kizazi kipya au la sivo kuna bango la Tution Center
  3. Jairos

    POLL: Watanzania wangapi wameendelea kufuatilia bunge baada ya UKAWA kususia?

    A... nahisi hata aibu nikijenga picha, mtazamo utakao kuwepo kwa kizazi kijacho ##"kila kukicha ni bora ya JANA ndani Tz hii"##
  4. Jairos

    Mkuu wa chuo UDOM, Makamu wa Chuo nashauri wajiuzulu kuokoa hadhi ya Chuo

    Daaah!! chunga kauli zako mkuu unakuwa nawe kama mtu anae ropoka vile bila kufikiri , usiruhusu speed ya mdomo kuzidi uwezo wako wa kufikiria jambo na kutoa stupid factoids
  5. Jairos

    Kauli za Rais Magufuli na mustakabali wa Taifa letu

    Athari yake ni kubwa sana, japo wao nahisi wanadhani hili suala litatoweka kama upepo vile wanashindwa fikiri nini kitakacho jengwa na hao anao watusi maana anawachukulia kuwa hawawezi ingia katika system ya elimu that means watabaki uraiani nini mwisho wao utakuwa na jamii gani itajengwa...
  6. Jairos

    PC nzuri ina sifa zipi?

    Daaaah mkuu kwa maelezo uliompa anaweza ishia nunua PC iliyo pigwa msasa tuuuu... hayo maelezo ungetoa kwa ambaye ni Pro or Expert tayari ila sio kwa #Beginner
  7. Jairos

    PC nzuri ina sifa zipi?

    Daaaah mkuu kwa maelezo uliompa anaweza ishia nunua PC iliyo pigwa msasa tuuuu... hayo maelezo ungetoa kwa ambaye ni Pro or Expert tayari ila sio kwa #Beginner
  8. Jairos

    Naomba ushauri nataka kununua kompyuta

    Laptop inategemeana na màtumizi yako km unajua utakuw na matumizi nayo mazito chukua either Dell or HP ambayo RAM sio Chini ya 2Gb na Bit Operating System => 64
  9. Jairos

    Kauli za Rais Magufuli na mustakabali wa Taifa letu

    malengo yake na matendo ni vitu vinavyo pishana anakusudia jenga Tanzania iliyo na usawa na mwishowe anaishia Bomoa Tanzania na kuweka matabaka "VILAZA++"
  10. Jairos

    Awamu ya Pili: Rais Magufuli unakoelekea siko

    Watu wengi hupenda liona tunda likiwa tayari limekwisha wiva kwa kula na kulipaparikia , wanakosa fikiri na kujenga hoja ni namna gani wanaweza fanya mpaka waweze fika hatua ya kuchuma tunda likiwa limewiva kwa jitihada na nguvu zao wenyewe. Katika maendeleo ya jamii yoyote daima kunakuwa na...
  11. Jairos

    Natamani kuwa Mkenya

    kweli hali ya UTAIFA haipo kwetu tutazid kuwa kama Kuku hatuna mwelekeo acha upuuzi wewe hamisha na ukoo wote basi
  12. Jairos

    Kwanini Warundi wanapenda kuwa wakimbizi?

    shida sio maandamano #uchumi ndio tatizo bwana walikuwa wanatafuta cha kuwa boost wakimbie nchi yao
  13. Jairos

    Kuripoti mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

    mafunzo yapo mkuu tena majina yametoka tangu Jumamosi sema kufunguka ndio yanazingua kwa baadhi ya kambi
  14. Jairos

    Hili tangazo ITV sio zuri

    ndugu umesahau Kiswahili O-LEVEL kuwa kuna ukuaji wa lugha. Ndani yake ndio kuongezeka kwa misamiati kama "Tusua"
  15. Jairos

    Hili tangazo ITV sio zuri

    hahah hayo mabango punguza kusema ukweli bwana una touch [¤]
Back
Top Bottom