Gazeti lipi kati ya haya linaandika habari za haki bila upendeleo?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,261
1,222
Ni jambo la kawaida kwa baadhi ya vyombo vya habari kuwa upande mmoja ktk siasa na mambo mengine. Je, ni gazeti lipi halipendelei upande wowote?
1. MWANANCHI
2. MWANAHALISI
3. JAMBO LEO
4. DIRA
5. UHURU
6. MAJIRA
7. TANZANIA DAIMA
8. JAMHURI
9. HABARI LEO
10. MZALENDO
11. KIU
12. RISASI
13. IJUMAA
14. MTANZANIA
15. BINGWA
17. NIPASHE
18. MSETO
19. RAIA MWEMA
20. RAIA
 
Hakuna gazeti linalotaka kuandika ukweli ili kukosa soko, tatizo letu wabongo tunapenda udaku/kudanganywa ndo tununue, ukijiroga kuandika kweli kila kitu, utasoma magazeti yako mwenyewe.
 
Hakuna gazeti linalotaka kuandika ukweli ili kukosa soko, tatizo letu wabongo tunapenda udaku/kudanganywa ndo tununue, ukijiroga kuandika kweli kila kitu, utasoma magazeti yako mwenyewe.

Hii si kweli. Magazeti yaliyo more biased ni Tanzania Daima, Uhuru, Mzalendo, Daily news, Habari leo na jambo leo.
Yenye level za juu kwenye profesionalism (relatively) ni Mwananchi, Citizen, Mtanzania na top of the range ni the east Africa. Hii ni my opinion.
 
Mm nasomaga Mwanahalisi, Tanzania daima na Mseto yaani yale ambayo serikali hupenda kuyafungia
 
Magazeti mengi yanaandikwa ili kutangaza matukio tu, na sio kuchambua kwa kina au kufumbua macho watanzania juu ya mambo fulani chini ya carpet.. Hii yote ni kutokana na vitishio kuogopa Fungiwa
 
Mwananchi wanajitahidi sana. Wapenzi wa habari za udaku hawawezi kulipenda mwananchi maana huwa lipo neutral sana.
 
Mwananchi wanajitahidi sana. Wapenzi wa habari za udaku hawawezi kulipenda mwananchi maana huwa lipo neutral sana.
Hili mwananchi ndio lilidanganya umma kuwa zitto kapewa sumu kumbe hawakuelewa tafsiri sahihi ya 'food poisoning'

Waandishi wa kibongo bado ni makanjanja sana tu....ukihakiki vyeti huko ndio utakutana na ilimu za hapa na pale tu
 
Hii si kweli. Magazeti yaliyo more biased ni Tanzania Daima, Uhuru, Mzalendo, Daily news, Habari leo na jambo leo.
Yenye level za juu kwenye profesionalism (relatively) ni Mwananchi, Citizen, Mtanzania na top of the range ni the east Africa. Hii ni my opinion.

Huna lolote we kichaa
ImageUploadedByJamiiForums1468564829.755507.jpg
 
Back
Top Bottom