Kwanini Warundi wanapenda kuwa wakimbizi?

Kwanini Warundi wanapenda kuwa wakimbizi?

Wewe tutusa Burundi hakuna mji unaoitwa Kigali kenge wewe.

Sawa mkuu, nisharekebisha, niliwachanganya maana wote ni walewale tu! ila punguza jazba next time unaweza pitisha uhalo mwororo kwenye suruali! kama story imekugusa rudi kwenu, ukajenge nchi yako.
 
Halafu kibwengo kama huyu aliwakimbia panya road leo anashangaa anayekimbia possible civil war!! Kweli Mitanzania mingi ni makenge kabisa.

Nimekupuuza kama ninavyopuuza wapuuzi wengine kama wewe maana hujitambui kuna civil war pale Burundi.
 
warundi ndivyo walivyo wabishi mno nia yao uraia wa tz hawa wakina minane.
 
Wamezoea vya bure!! Wanakula, wanalishwa, wanatibiwa nk. Bure na kukalia ardhi ya TZ na kwenye budget wawekwe maana shida
 
Ukweli ni kwamba hakuna mtu anapenda kuikimbia nchi yake. Na ukimbizi hausababishwi na vita tu. Matatizo na shida za kiusalama, kiuchumi, kijamii, kiafya, ukabila, majanga ya kimazingira kama ukame, mafuriko, nk pia husababishwa ukimbizi. Na Burundi ni moja ya nchi yenye hali duni sana ya maisha hasa kwa watu wa hali ya chini. maisha ni magumu sana na Umasikini ni mkubwa mno. Na wanakimbilia tz wakiwa na imani kwamba tz kuna unafuu wa usalama, uchumi, na maisha ni cheap nk.

Usiombe yakukute ndugu yangu. ukimbizi ni balaa.

Kwani waliobaki Burundi siyo watu? Na kitaalamu inasemekana wanaokimbiaga ndiyo wakorofi
 
Kwani waliobaki Burundi siyo watu? Na kitaalamu inasemekana wanaokimbiaga ndiyo wakorofi

Nchi/taifa huundwa na watu. wengine wanapokimbia kuhofia usalama wa maisha yao, haimainishi wanabaki sio watu, ni watu. isipokuwa kila mtu anavigezo vyake anapoamua kuanza safari ya ukimbizi. kuna wavumilivu na wasio wavumilivu, kuna wenye hali mbaya na walio hatarini zaidi kuliko wengine nk.
 
Acha matusi,jenga hoja ueleweke.

Na wewe tumia ubonge wako huwezi kusikia tetesi ukakimbia kwako halafu kukimbia tatizo sio kutatua tatizo ila ni kujiongezea matatizo yaani maandamano kidogo tu ya Bujumbura watu wanafungasha virago
Btw wewe na choko Bhanunu ni warundi.

Kaanza kunitukana yeye hapo kwenye red, analeta mada huku ana bangi kichwani
 
Kuna jamaa mrundi jana kwenye news kasema atafia tanzania hata kama burundi kutakuwa na amani. Nikasema kweli nchi yetu inapendwa.watanzania jamani tuipende nchi yetu.warundi tunawakaribisha tuendelee kujenga uchumi wa nchi yetu.huku ni kazi tu uvivu pelekeni Burundi.
 
shida sio maandamano #uchumi ndio tatizo bwana walikuwa wanatafuta cha kuwa boost wakimbie nchi yao
 
Bhanunu huyu jamaa Molembe hajatumia akili yake kwa ufasaha, kama angejua hao Warundi vita imeshawaathiri kwa kiwango gani, na hao anaowaona ni wanaume leo, miaka ya 1993 wakati wa mauaji ya hatari ndo kwanza walikuwa watoto, wakapotezana na familia zao, wakapoteza rasilimali zao pamoja na wazazi wao kuuawa mbele ya macho yao, asingesema.

Halafu ajue anapojimwaga JF,Twitter, FB, Airtel, sijui radio gani, kule Burundi hayo yote yamefungiwa. Hao wanaokimbia hawana full information kama alizonazo, wao wanasikia watu wanauana Bujumbura tu, sasa kwa nini wasikimbie?

Kikwete kasema ukipewa akili changanya na zako. Molembe Jiongezee akili kidogo inaonekana umeshiba, mind you sijakutukana ila nimekushauri tu, hakuna anayependa kuwa mkimbizi asilani.

Kabisa umeongea vyema mkuu, umemaliza yote, nilotaka kuongea, siku zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Last edited by a moderator:
Kabisa umeongea vyema mkuu, umemaliza yote, nilotaka kuongea, siku zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa.

Ndo walichokifuata.

Maajabu hayataisha, baada ya wakimbizi 51000 wa kambi za nyarugusu kigoma kutoweka. Hili ni jambo la hatari kwa usalama wa nchi, watu 51000 ni mji kabisa, wametowekaje?

Basi ni wazi tuliwapokea bila maandalizi. Sasa warundi hawataki kurudi kwao, na kwa vile Kuna wakimbizi 160000 tuliowapa uraia wenye uwezo wa kuwahifadhi hawa. Sasa machafuko yalitokea kidogo na watu wakakimbilia fasta shamba la bibi na kuzama ndani, kazi kwetu wanawane.
 
Back
Top Bottom