Recent content by Jahim

  1. J

    Kutokea Kigali Rwanda: Kachero Mbobezi na Mshirika wa karibu wa Paulo Kagame akamatwa na kuswekwa lupango

    Kwa jinsi Kagame alivyo paranoid huyo jamaa ndio kwisha habari yake.
  2. J

    Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

    Duh kumbe kabla dokta hajakuandikia dawa anawasiliana na T.R.A kweli mapya.
  3. J

    DPP usidhulumu pesa za wananchi pamoja na kwamba serikali inahitaji pesa.

    Mkapa aliua viwanda ili aanzishe soko huria huyu anaua soko huriaa ili aanzishe viwanda wala haishangazi!!ndio ccm hiyo yaani mitano kama mitano.
  4. J

    Kwa wanawake wenye makalio makubwa hii iwafikie

    Nilijua tu huu utumbo wako utakapoishia.
  5. J

    Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Ukatili Tundu anaomfanyia Magu ya faa akamatwe apewe kesi ya kumnyanyasa rais kama alivyopewa Idrisa.
  6. J

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Ukatili Tundu anaomfanyia Magu ya bidi akamatwe kwa kosa la kumwonea raisi kama alivyo kamatwa Idrissa.
  7. J

    Nahisi nina tatizo la figo, nakata tamaa

    Tafuta dawa za mizizi unywe mkuu achana na madawa hayo ya hosp nenda maduka ya dawa asili wakusaidie mapema usije kujutia .
  8. J

    Ujio wa Tundu Lissu na shamrashamra za mapokezi makubwa zaashiria CCM kutupiwa virago na wapiga kura Oktoba hii

    Hii ni ishara kwamba watu wanahitaji mabadiliko yaani sasa hivi Lisu ndiye talk of the town sio marehemu tena.
  9. J

    Thabo Mbeki’s reflections on the legacy of Benjamin Mkapa

    Magufuli akae akijua anaweza kuwa futa kina Tundu Lisu na upinzani lakini akae akijua historia yake hataweza kuifuta vizazi na vizazi.
  10. J

    Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Nadhani msajili wa vyana vya kisiasa amesahau chama kimoja TANPOL.
  11. J

    Mazoezi magumu zaidi ya majeshi ya nchi tofauti duniani

    Tupe za wanajeshi wa zanzibar
  12. J

    Aibu hii ya Madagascar Mbona inafichwa? Serikali iache siasa kwenye afya Zetu

    Mtoa mada uloshawahi hata kuionja hio dawa?
  13. J

    Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

    Hata Mutharika alikua analindwa hivyo hivyo lakini hivi. Sasa amepigwa chini.
  14. J

    Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

    Magufufuli solution anazozitoa ni za kuungaunga mara tusali, mara tujifukize, Madagascar beverage yeye inaelekea hajui alifanyalo au ana appeal to ignorance lakini anasahau kua ignorance is not an excuse against the law Watu wanateketea halafu yeye anadai maambukizi yamepungua hahaha namtakia...
Back
Top Bottom