Hawa jamaa MI nawakubali SanaNavy Seals ndo mwisho wa habari...
Wanajeshi wa Kibongo wapo vizuri sana ndio maana unaambiwa kama uliwahi kufanyiwa Operation yoyote kwenye mwili usijaribu kuingia jeshini maana itafumuka,hapo ndipo utajua wabongo noma kwenye Jeshi,ukitaka kujua jeshi letu lipo au laah kamuulize Iddi Amin anaijua shughuli yetu.Mazoezi ya kijeshi yote hufanana takribani yote, ila inategemea na nchi. Mfano, kuna nchi zenye barafu na zisizo na barafu, nchi za joto kali na baridi kali, zajangwa na zisizo na jangwa.
Ndiyo maana huwa wanashirikiana majeshi ya nchi tofauti kupeana uzoefu.
Hata kama wanalipwa kiasi kidogo, ukishajitoa kuitumikia nchi yako na watu wake, siku zote suala la malipo haliangaliwi sana, yaani UZALENDO kwanza.
Majeshi yetu Afrika, yapo vizuri pia, sema tu vifaa bado siyo vya kisasa kama mnavyowaona wa mbele huko. Mf, tazama wanajeshi wa jirani zetu Sudan Kusini, na Congo, huwa nawaona wakiwa na zana hafifu sana, mfano mdogo tu Buti zao, yaani wanavaa zile za mvua, ambazo ww na mimi tunazivaa (baadhi, na tunawaona Osteri Malivika, wa ITV, anayeripoti tokea huko).
Sasa viatu kama vile, hata kukimbia umbali mrefu ni shida. Kama unaye ndugu yako aliyeenda kulinda amani huko, muulize akuchambulie ya huko.
Ahsante!
wewe unajua sana, acha kuwachota akili wenzako.................Kwanini tusiamue kuishi kwa amani badala ya mahangaiko yote haya
Umeona mkuuuKazi ya jeshi ni ya kitumwa sana yaani ukistaafu unawaza kwenda kuhiji Roma au makka alafu unakuwa choka mbaya unawaza kufanyakazi gas security
Mafunzon msosi upo ila unaisha tumboni fastambona wanaangalia kamera kwa huzun. Kwel wanapata msos wa kutosha?
Kwa haya mazoez lazima fuse moja ichomokehilo la kutembea km 69 nalo ni zoezi gumu?
Kwani wanalipwa kiasi gani hadi upitie hizo shida?
mbona wanaangalia kamera kwa huzun. Kwel wanapata msos wa kutosha?
Ndo maana ake....au ufe wewe...je wewe unakubali kuuliwa??..Yaani yote hii ni kutaka kuwa mahiri kwenye kuua watu. Yaani ili nchi ijione iko salama basi inapasa kuwa na uwezo mkubwa wa kuua watu! Ama kwa wanajeshi wako au mabomu, vifaru, ndege n.k..... Bwana utuhurumie